Ruto azindua mfumo wa kujiunga na chama cha URP kupitia SMS! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruto azindua mfumo wa kujiunga na chama cha URP kupitia SMS!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by simplemind, Feb 23, 2012.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  Kujiunga na chama cha URP(united republican party) unatuma sms yenye jina na namba ya kitambulisho kwenda na maalumu. Kwa muda usiyozidi dakika utapata sms yenye namba yako ya uanachama wa URP. Hii kitu safi inaokoa muda na usumbufu wa kwenda hadi ofisi za chama.
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu. I hope itakuwa ni mwanga kwa cdm kujipanga na kujua vizuri mfumo huu, ili iturahisishie sisi wakeleketwa wake, kwani kwa sasa cdm inakubalika sana tz!
   
Loading...