Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Hivi huyu Mollel ana nini kipya cha kuwashinda vijana bungeni? Huyu mtu alisha staafu utumishi wa Umma lakini bado mna mpa ulaji na kuwaacha vijana wenye nguvu mlio nao...!
Mkuu mimi sio Chadema na Sina chama, hivyo sielewi criteria zakuchagua. Ninachomfahamu ni kwenye elimu yake na uelewa ambayo naona siwezi kabisa kumlinganisha na Wolper. Lakini inawezekana kabisa kuna vijana mahiri zaidi yake upinzani. Binafsi naamini kabisa kwenye siasa iwe (CCM, CUF, CDM, ACT etc) hizi nafasi zote kigezo cha ufanisi sio sana kama kujuana. Kujuana ni moja ya kigezo kwenye siasa. Tukubali tukatae. Na hili linakatisha sana tamaa.Binafsi naona hizi itikadi zimefanya wengi wamepotea wasijue wanachotaka. Mimi naamini kwenye kuchagua mtu kutokana na ufanisi wake sio itikadi. Itikadi naamini ni njia tu ya kufikia mahali fulani. Watanzania wote tunataka kufika mahali lakini tunatofautiana Njia ipi ni sahihi. Tukilijiua hilo tutapingana bila chuki, na tutatoa nafasi kwa wengine walio na new ideas.
 
Duh!! wewe kazi yako kushinda hapa JF, yaani unazidiwa hadi na Juliana shonza amepata Ubunge? acha kujirahisisha ndio maana unatumika halafu wanaokutumia hawakujali.

Kama hatushindi wote JF ulijuaje?

Hongera sana kwa Juliana Shonza, nnajuwa vijiba vimewakaa kooni.
 

Aliingia lini CHADEMA . . . . umesema unamfahamu personally wape jibu wapiga kura acha maelezo mengi
 
Aliingia lini CHADEMA . . . . umesema unamfahamu personally wape jibu wapiga kura acha maelezo mengi

Mkuu swali gumu kulijibu hilo kwa mtu kama mimi. Sina uongozi wa siasa mahali popote, familia zetu zinafahamiana toka zamani sana- sio kwa kazi au uongozi. In short mambo ya itikadi/siasa ni yake mwenyewe na familia. Nazungumza ninachokijua nisivyofahamu nawaachia wanaojua. Ukiona maelezo mengi usisome.
 
Mkuu huyo alikua katibu mkuu ofisi ya makamu wa Rais akastaafu
Ni moja ya makapi alioondoka nayo lowassa ccm.amepata ubunge baada ya Regina kukataa kupewa ubunge wa chee baada ya mihela yao kutafunwa kisawasawa

Regina kakata kabisa tamaa hataki tena siasa kaona bora akachunge ng'ombe tu maisha yaendelee!
 
Huyo mama anafaa kabisaa huwezi mlinganisha na wabunge wa ccm huyo ni number nyingine ndio maana magamba yana wewezeka kama kawaida ya misekule
Aliwahi kuwa mbunge?lini na wapi?
Huo ujembe wa bungeni uliuonea wapi?

Mkiitwa malofa mnachukia!
 
Kesho mpigie umueleze kuna uzi huku unamuhusu akupe yale yanayokushinda hapa ulete jukwaani. . . .
 

kwan anayetoa siri za serikali siku zote unajua ni nani???kupigania chama si mpaka apande majukwaani,wengine wapo Ikulu lakini ni wapigania chama vile vile(silent killer)so wanahitaji kujaaliwa kama wao walivyokijali chama.
 
Kwani Naomi Kaihula ni kijana?
 
kwan anayetoa siri za serikali siku zote unajua ni nani???kupigania chama si mpaka apande majukwaani,wengine wapo Ikulu lakini ni wapigania chama vile vile(silent killer)so wanahitaji kujaaliwa kama wao walivyokijali chama.

Alikuwa anatoa siri za serikali kwa manufaa ya Chadema au EL akiwa ccm?
Silent killer kwa kutoa siri za serikali??
 

alijiunga mwaka 2013/05/27 akabaki CCM Kwa kazi maalum
 
 
alijiunga mwaka 2013/05/27 akabaki CCM Kwa kazi maalum

Ungetaja na namba ya kadi ya uanachama...
Halafu inaelekea Alijiunga kimyakimya bila Slaa kujua kwa sababu Slaa asingekuja kuuliza swali la asset vs liability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…