meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #61
RUTH MOLLEL BIDUGA
(01-06-1946 to 13-12-2012)
Huyo siye tunayemuongelea hapa
RUTH MOLLEL BIDUGA
(01-06-1946 to 13-12-2012)
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?
Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.
Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.
Si Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.
Hongera sana ukawa nimefurahi kusikia Ruth mollel kapata viti maalum huyo ni mwanamke wa nguvu na msomi hao wanaosema ni bimdogo ni wahuni wa ccm wameanza kuweweseka wanajua ruth kiboko yao. Bado yule mwanasheria na aliekuwa mshauri wa Jk anaitwa mama sinare jamani waleteni wote hao tukiwapata hao bungeni hapatatosha

Nawe twajua ni Ngoma ya mzee Wassira,umepewa nini?Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Sasa Ben, umbea upo wapi hapo? Kuna wengi walikuwa hawajui hili. Nimewatonya tu
Jamani muwe mnasoma post zote! Imegundulika kuwa hiyo no Ngoma ya WassiraHivi we niwakiume kweli?
Kwani unachoshangaa wewe ni kwa lipi hasa.. Kwani hapo kabla alikuwa mwanachama wa CCM? na hata Kama alikuwa CCM kwani kitu gani cha ajabu kwa yeye kuhama chama Kama aliamua mwenyewe??
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo