Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

vile vile alishawahi kua katibu wizara ya sayansi teknolojia na elimu ya juu.
 
Hebu tulia uje na majibu ya maswali niliyouliza katika post yangu.

Majukumu yanagawanywa wakati wa mavuno au kupanda?
teh teh umenifurahisha kijana, endelea kuwahoji utawashika pabaya.
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Unaweza kukazia kwa ushahidi ?
 
??????????????????????????????????????????????????????????????/
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

wakianza kuchambua majina viti maalum ccm usikimilie kwenye cybre
 
Viti maalum vya CCM mbona havihojiwi? Mti wa Chadema utakuwa na Matunda naona mnaupiga mawe ya kutosha. Mara ooh baada ya uchaguzi ATC sorry ACT kitakuwa ndiyo chama kikubwa cha upinzani. Kwikwiiii
kihoja ACT ndio kitakua chama cha maana cha upinzani. cdm imekua ya magamba na nyumbu wa malisho. hii ndio sababu wanasherehekea kwa shangwe kubwa ongezeko la ruzuku. i hope hawadai ongezeko la mshahara na posho siku ya kwanza bungeni.
 
wakianza kuchambua majina viti maalum ccm usikimilie kwenye cybre
uploadfromtaptalk1446894944201.jpeg

Hiki ndo Chakula cha mzee wa Mamvi
 
Nachukia mijitu inayojiingiza kwa mambo yasiyowahusu. Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini? Nitashangaa sana hata siku moja unaweza omba uwanachama.

Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.

Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.
 
Hakika nimeamini chadema ina wenyewe kabisa na viti maalum hivi vitawavuruga zaidi!
 
Sasa Ben, umbea upo wapi hapo? Kuna wengi walikuwa hawajui hili. Nimewatonya tu

Umbeya ni kuleta taatifa ambazo huwezi kuzithibisha. Kama unaamini sio umbeya weka uthibitisho hapa
 
Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.

Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.
Bado akili ile ile
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Elton John alianza na tabia kama zako.
 
Back
Top Bottom