matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Watu mna chuki ...Kwani kaskazini Ni nchi nyingine
Kwani ni vigezo gani vilitumika kumpa huyo mama ubunge? Au mchakato ulikuwaje? Hii itasaidia kuondoa doubts kuhusu ukanda na kujua na.
Watu mna chuki ...Kwani kaskazini Ni nchi nyingine
Uelewe Ruth ni Mmasai. Kwa nini asitake kwenda kwa Wamasai wenzake.
juliana shonza mbona kpata ubunge huulizi aliwekeza nin ccm?
Sijakusoma.
Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?
Wasalaam !
Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.
Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.
HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?
Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.
Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?
Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?
Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?
Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.
SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.
OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!
Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando
aliamia dk 90 za lala salama za kampeni
usishangae waliokua tayari viti maalumu walikatwa. akapea huyo dr

Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi
Uelewe Ruth ni Mmasai. Kwa nini asitake kwenda kwa Wamasai wenzake.
hii itaifanya cdm kushibdwa kufanya vizuri kwenye majimbo nane yaliyobaki ukitoa arusha , ele munkari ya ukawa inapungua kwa hii figisufigisu
Sasa Huwa ANAMLAJE Wakati 24/7 Ana Vibrate Na Ku GEITA?
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaa...Mleta mada ni malaya wa kisiasa. Mpenzi wa ccm lakini anachepukia chadema