Rutashubanyuma Unatisha!

Napenda kuchukua fursa hii, kumpongeza mr Rutashubanyuma kwa michango mingi aliyoitoa kwa kipindi kifupi,na mbali ya wingi wa michango hiyo,pia imekuwa michango ya muhimu katika kuelimisha jamii.Maana waswahili wanasema wingi si hoja,kinachohitajika zaidi ni ubora,lakini kwa Mr Rutashubanyuma, michango yake imekuwa na sifa zote mbili yaani ni mingi na yenye ubora wa kutosha.Sina uzoefu mkubwa sana hapa JF,lakini kwa kipindi kifupi nilichokuwepo hapa sijapata kuona mtu aliyeweza kuandika posti nyingi kwa siku kama mr Rutashubanyuma .Wastani wake wa kuandika posti kwa siku ni 97,hakika huu ni uwezo mkubwa sana.Hongera sana mkuu na endelea na juhudi zako katika kuelimisha jamii.
Nawasilisha

mhhh! this isn't it!
 
Rutashubanyuma hana kazi ya kufanya ndo mana siku nzima amekaa anatuma post. Mtu kama huyo ni hatari kwa Taifa hoi kama bongokand ha ha ha
 
sasa umesema mwenyewe waswahl wana sema wing c bora je inachangiwa ila duh! Huyu Ruta... Atakuwa hanakaz ya kufanya zaid ya kuandka hz post au ndo walewalio pga FLD shule za kata hv sasa wanarisit ndo mana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom