Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel

Sep 12, 2023 06:28 UTC

Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa tovuti hiyo, kampuni ya usalama ya habari ya ESET imegundua kuwa wale iliowaita wadukuzi wa Iran wametumia fursa ya udhaifu uliopo katika seva za barua pepe za makampuni 32 ya Israel kuanzisha kile kiitwacho mlango wa nyuma, uliowaruhusu kujipenyeza kwenye mitandao ya makampuni hayo.

Kampuni moja ya usalama wa mtandao, ambayo imekataa kufichua majina ya makampuni yaliyodukuliwa imesema, wadukuzi hao wa Iran wamedukua pia kampuni nyingine moja nchini Brazil na nyingine katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE).

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, makampuni yaliyodukuliwa yanafanya kazi katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na bima, dawa, viwanda, mawasiliano, IT, teknolojia, biashara za rejareja, magari, shughuli za kisheria, huduma za kifedha, usanifu majengo na uhandisi wa majengo.

Tovuti ya Ynetnews imeeleza kwamba kundi hilo la wadukuzi lilijitambulisha kwa jina la Ballistic Bobcat, ambalo pia linafahamika kwa majina mengine, likiwemo Charming Kitten, TA543 au PHOSPHORUS pamoja na APT35/42. Imeongeza kuwa, kuna makampuni mengine yasiyopungua 16 ambayo yamehujumiwa na wadukuzi wengine.

Ifahamike kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshailenga mara nyingi Iran kwa hujuma za udukuzi iwe ni moja kwa moja au kwa kuchochea na kutoa uungaji mkono kwa wahusika halisi wa hujuma hizo.

Huko nyuma mnamo mwaka 2012, gazeti la The Washington Post la Marekani iliripoti kuwa Shirika la Usalama la Taifa la nchi hiyo (NSA), shirika lake la ujasusi CIA na jeshi la utawala haramu wa Israel zilishirikiana pamoja kutengeneza programu ya uharibifu iliyopewa jina la Stuxnet kuhujumu mitambo ya nyuklia ya Iran.

Katika kulipiza kisasi dhidi ya hujuma hizo, inadaiwa kuwa makundi ya wadukuzi wa Iran nayo pia yalizilenga sehemu na vituo kadhaa ndani ya utawala haramu wa Israel.

Huko nyuma mwishoni mwa mwaka 2020, gazeti la kila siku la Israel la Ha'aretz lilidai kuwa kundi la wadukuzi wabobezi lililowatambulisha kuwa ni Wairani lilifanikiwa kupenya hadi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na shirika kuu la teknlojia ya anga la utawala huo.
 
Kuna kipindi walitegeshewa wakadhani wamedukua kwenye mifumo ya maji wakawa wanachanya kemikali ili maji yawadhuru watumiaji, wasijue kuwa wamewekewa simulation😃, vyombo vya usalama vya israel vikatoa taarifa kuwa wamedukuliwa na Iran.
Kuja kustuka program ya vinu vya nuclear ikaanza kujibu huko kwao Iran, wakati huko Israel watu wanaendelea kutumia maji kama kawaida and no problem😃.
Kuna kipindi watu wanajiweka vulnerable ili wakutandike vizuri
 
Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel

Sep 12, 2023 06:28 UTC

Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa tovuti hiyo, kampuni ya usalama ya habari ya ESET imegundua kuwa wale iliowaita wadukuzi wa Iran wametumia fursa ya udhaifu uliopo katika seva za barua pepe za makampuni 32 ya Israel kuanzisha kile kiitwacho mlango wa nyuma, uliowaruhusu kujipenyeza kwenye mitandao ya makampuni hayo.

Kampuni moja ya usalama wa mtandao, ambayo imekataa kufichua majina ya makampuni yaliyodukuliwa imesema, wadukuzi hao wa Iran wamedukua pia kampuni nyingine moja nchini Brazil na nyingine katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE).

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, makampuni yaliyodukuliwa yanafanya kazi katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na bima, dawa, viwanda, mawasiliano, IT, teknolojia, biashara za rejareja, magari, shughuli za kisheria, huduma za kifedha, usanifu majengo na uhandisi wa majengo.

Tovuti ya Ynetnews imeeleza kwamba kundi hilo la wadukuzi lilijitambulisha kwa jina la Ballistic Bobcat, ambalo pia linafahamika kwa majina mengine, likiwemo Charming Kitten, TA543 au PHOSPHORUS pamoja na APT35/42. Imeongeza kuwa, kuna makampuni mengine yasiyopungua 16 ambayo yamehujumiwa na wadukuzi wengine.

Ifahamike kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshailenga mara nyingi Iran kwa hujuma za udukuzi iwe ni moja kwa moja au kwa kuchochea na kutoa uungaji mkono kwa wahusika halisi wa hujuma hizo.

Huko nyuma mnamo mwaka 2012, gazeti la The Washington Post la Marekani iliripoti kuwa Shirika la Usalama la Taifa la nchi hiyo (NSA), shirika lake la ujasusi CIA na jeshi la utawala haramu wa Israel zilishirikiana pamoja kutengeneza programu ya uharibifu iliyopewa jina la Stuxnet kuhujumu mitambo ya nyuklia ya Iran.

Katika kulipiza kisasi dhidi ya hujuma hizo, inadaiwa kuwa makundi ya wadukuzi wa Iran nayo pia yalizilenga sehemu na vituo kadhaa ndani ya utawala haramu wa Israel.

Huko nyuma mwishoni mwa mwaka 2020, gazeti la kila siku la Israel la Ha'aretz lilidai kuwa kundi la wadukuzi wabobezi lililowatambulisha kuwa ni Wairani lilifanikiwa kupenya hadi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na shirika kuu la teknlojia ya anga la utawala huo.
Pumbavu kabisa ili jamaaa?
Habari zako zimekaaa mlengo wa Russia
 
Back
Top Bottom