Russia ni taifa la ajabu sana

Unasema ni chaguo?..vipi kuhusu haya mambo kufundishwa watoto wadogo wa kindergaten, unataka kuniambia hao watoto wana akili ya kujua kuchagua jema na baya

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Walee watoto wako kwenye misingi ya kumjua Mungu huta juta.

Hayo mambo ya ushoga ni "dont ask dont tell" siwezi kumuuliza mtu sexual orientation yake na wala sitaki kujua ila pia asinioneshe.
 
Na mrusi anamjulia Kwa kuwa hautakiwi kuharibu miundo mbinu ya kiraia wenyewe wamekuwa wakiwateka raia kama ngao,na kutumia majengo ya kijamii kama ngome,hata hivyo wamekuwa ama waking'olewamo au wakitiwa kiberiti humor humo🚶
Mbinu za kujificha kwenye majengo ya kijamii na kuwatumia raia kama kinga, mbinu hizo walifundishwa na wakufunzi wa kijeshi kutoka UK na USA wajidanganya kwamba Urusi itasita kushambilia majengo hayo kwa hofu kwamba wanaweza kushtakiwa for war crime - hizo ndizo akili mbovu za Viongozi wa Mataifa ya magharibi,kujaribu kumtisha tisha Putin kwamba atakamatwa na kushtakiwa for war crime, lakini Biden na NATO hawasemi chochote kuhusu kuvamiwa na kuharibiwa kwa Taifa dogo la Yugoslavia wakitumia mabom hatari yenye madini ya depleted Uranium - raia bado wana athiliwa ni mionzi iliyo tokana na mabom hayo,cases za cancers zimeongezeka sana kwa raia wa former Yugoslavia na Iraq, je, mashambulizi ya US drones huko Iraq, Syria, Afghanistan,Afrika (Somalia na Afrika ya kati) kwa kushambulia Hospitali,Mashule,Misikiti mpaka watu kwenye sherehe za harusi war crimes zote tajwa hapo juu,sijawahi kusikia Umoja wa Mataifa ukisema utawaburuza the Hague ma Rais wa Merikani kujibu mashtaka ya war crimes committed over the years, wako kimya kabisa kazi kuwananga akina: Putin, Afaz Asaad, Rais wa Korea ya Kaskazini pamoja na Viongozi wa Iran!!

Uncle SAM is overly obsessed kuchonganisha mataifa yasielewane,kuabudu mambo ya vita vita na turmoil because they know kwamba viwanda vyao vya silaha thrives on waging perennial wars around the Globe, US Military Industrial Complex actually ni Serikali ndani ya Serikali hata Bidenb anaendeshwa puta na wamiliki wa viwanda vya silaha - hao ndio wanaweka shinikizo vita ya Ukraine viendelee miaka nenda rudi ili wapige hela ndefu kwa kuuza silaha, they don't care about Ukrainians or anybody!!

Rais Eisenhower aliwahi kuonya Wamerikani wenzake na Dunia kuhusu umafia/hatari zitakazo letwa/sababishwa na viwanda vya silaha nchini mwao -Eisenhower alikuwa sahihi kabisa,alicho kisema/onya tulianza kukishuhudia kuanzia mwanzoni mwa 1960s mpaka leo, genge hili hatari lilifikia hatua kula hatua njama za kumuua Rais wao alipo onyesha dalili za kutounga mkono vita ya VietNam - wakaona hisiwe shida wakamuondoa pumzi fasta.

Binafsi na amini kwamba wenye uwezo wa kukomboa Dunia kutoka kwenye makucha ya MA NEO NAZI hawa ambao wanajifanya wana hati miliki ya Dunia nzima,wenye uwezo wa kuwakomesha/kuwatia adabu ni ushirikiano wa kijeshi wa mataifa ya Urusi, China, North Korea, Iran possibly na Brazil ili kukomesha ujeuri wa genge hili ovu - si watu wema hata kidogo.
 
Walee watoto wako kwenye misingi ya kumjua Mungu huta juta.

Hayo mambo ya ushoga ni "dont ask dont tell" siwezi kumuuliza mtu sexual orientation yake na wala sitaki kujua ila pia asinioneshe.
Wamjue Mungu wakati mukilala mukiamka munawapiga msasa kuhusu huo UCHAFU
 
Yan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaume

Jf imekaa kimasikhara Sana siku hizi🙄,wewe sidhani hata Kama unafahamu maana ya operation ya kijeshi au Vita!!!

Ni uzuzu eti mtu kakukera mko mnazichapa afu aliyekukera anakuambia Subiri kwanza tuvue mashati ndiyo tuendelee kupigana,ukikubaliana naye Basi wewe hukukasirika.
 
Mbinu za kujificha kwenye majengo ya kijamii na kuwatumia raia kama kinga, mbinu hizo walifundishwa na wakufunzi wa kijeshi kutoka UK na USA wajidanganya kwamba Urusi itasita kushambilia majengo hayo kwa hofu kwamba wanaweza kushtakiwa for war crime - hizo ndizo akili mbovu za Viongozi wa Mataifa ya magharibi,kujaribu kumtisha tisha Putin kwamba atakamatwa na kushtakiwa for war crime, lakini Biden na NATO hawasemi chochote kuhusu kuvamiwa na kuharibiwa kwa Taifa dogo la Yugoslavia wakitumia mabom hatari yenye madini ya depleted Uranium - raia bado wana athiliwa ni mionzi iliyo tokana na mabom hayo,cases za cancers zimeongezeka sana kwa raia wa former Yugoslavia na Iraq, je, mashambulizi ya US drones huko Iraq, Syria, Afghanistan,Afrika (Somalia na Afrika ya kati) kwa kushambulia Hospitali,Mashule,Misikiti mpaka watu kwenye sherehe za harusi war crimes zote tajwa hapo juu,sijawahi kusikia Umoja wa Mataifa ukisema utawaburuza the Hague ma Rais wa Merikani kujibu mashtaka ya war crimes committed over the years, wako kimya kabisa kazi kuwananga akina: Putin, Afaz Asaad, Rais wa Korea ya Kaskazini pamoja na Viongozi wa Iran!!

Uncle SAM is overly obsessed kuchonganisha mataifa yasielewane,kuabudu mambo ya vita vita na turmoil because they know kwamba viwanda vyao vya silaha thrives on waging perennial wars around the Globe, US Military Industrial Complex actually ni Serikali ndani ya Serikali hata Bidenb anaendeshwa puta na wamiliki wa viwanda vya silaha - hao ndio wanaweka shinikizo vita ya Ukraine viendelee miaka nenda rudi ili wapige hela ndefu kwa kuuza silaha, they don't care about Ukrainians or anybody!!

Rais Eisenhower aliwahi kuonya Wamerikani wenzake na Dunia kuhusu umafia/hatari zitakazo letwa/sababishwa na viwanda vya silaha nchini mwao -Eisenhower alikuwa sahihi kabisa,alicho kisema/onya tulianza kukishuhudia kuanzia mwanzoni mwa 1960s mpaka leo, genge hili hatari lilifikia hatua kula hatua njama za kumuua Rais wao alipo onyesha dalili za kutounga mkono vita ya VietNam - wakaona hisiwe shida wakamuondoa pumzi fasta.

Binafsi na amini kwamba wenye uwezo wa kukomboa Dunia kutoka kwenye makucha ya MA NEO NAZI hawa ambao wanajifanya wana hati miliki ya Dunia nzima,wenye uwezo wa kuwakomesha/kuwatia adabu ni ushirikiano wa kijeshi wa mataifa ya Urusi, China, North Korea, Iran possibly na Brazil ili kukomesha ujeuri wa genge hili ovu - si watu wema hata kidogo.
Beberu mwamerika ni muovu namba Moja hapa duniani,ninavyoona Mwamba Putin akipambana naye na washirika wake uchwara naona poa TU,ili tuheshimiane humu duniani🏃🏃
 
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Mbona US alifanya hivyo Korea Kaskazini, Vietnam.
US aliipiga north korea mabomu mtululizo kwa miaka miwili akaharibu miundombinu yote na majengo yote na kuua robo ya population, alipoona haitoshi akapga mabomu kwenye bwawa wanalotegemea kwa umeme na kilimo cha umwagiliaji ili wafe kwa njaa.
 
Jf imekaa kimasikhara Sana siku hizi,wewe sidhani hata Kama unafahamu maana ya operation ya kijeshi au Vita!!!

Ni uzuzu eti mtu kakukera mko mnazichapa afu aliyekukera anakuambia Subiri kwanza tuvue mashati ndiyo tuendelee kupigana,ukikubaliana naye Basi wewe hukukasirika.
Au mnapigana na adui unalalamia kuwa mbona anakimblia kukukaba shingoni

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Kuna kitu hujaelewa, majeshi ya Ukraine yanatumia pia majengo ya raia kuwapiga Rusia jamaa wanapiga moshi unapotokea hii vita si ya mpakani ni ya ndani kwa ndani. Unafikiri Israel anapopiga majengo ya raia baada ya rocket za Hezbollah huwa anafanya kusudi? taarifa zao za kijasusi zinawaelekeza.
 
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Kweni nini maana ya vita? Uharibifu unauepukaje kwenye vita?
 
Jf imekaa kimasikhara Sana siku hizi,wewe sidhani hata Kama unafahamu maana ya operation ya kijeshi au Vita!!!

Ni uzuzu eti mtu kakukera mko mnazichapa afu aliyekukera anakuambia Subiri kwanza tuvue mashati ndiyo tuendelee kupigana,ukikubaliana naye Basi wewe hukukasirika.

Au unamchagulia pa kupiga
Unamwambia vichwa marufuku na mitama unalipa buku
 
Back
Top Bottom