Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

Putin wenu nae muhuni tu! Maneno meeeengi kama mtoto wa kike. Mwanaume haongeagi sana ni vitendo tu.

Ndio maana Mimi nawakubaliga wayahudi hawaongei mara mbili😎
Anapima tu upepo.
Unazani ni nchi ngapi zina nuclear weapons? Hata yeye anajua ndio maana anatishia sana kuliko kutenda maana anajua akirusha 1 tu ameshawapa wengine sababu ya kutumia zao. Kitu ambacho hataki kitokee maana wako wengi.

AnnualReport-Arsenals-by-Country.png
 
Anayo. Maajabu yake ni kwamba bado anazo zile akili za mwaka 47 na bado anajaribu kuzi-apply leo 2024. Hajiulizi imekuwaje hadi njemba zimepenya, zimeingia hadi kwenye ukumbi wa starehe, wakaweza kufanya walichofanya na kutoroka, ila tu ni kwa bahati mbaya katika hatua za mwisho walikamatwa baadhi na sio wote.
Hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi?
Mmefikia hatua ya kufurahia ugaidi?
Mmesahau hata Marekani alipigwa tukio Sept 22?
Pentagon ilishambuliwa itakuwa ajabu kushambuliwa ukumbi wa disco ?
 
Putin wenu nae muhuni tu! Maneno meeeengi kama mtoto wa kike. Mwanaume haongeagi sana ni vitendo tu.

Ndio maana Mimi nawakubaliga wayahudi hawaongei mara mbili😎
Hali ya ukrein sasa hivi unajua?
Huko hakufai msidanganywe na propaganda za magharibi.
Wenzenu wapo jehanam
 
Nilishangaa kuona ila sasa Nina amini Mungu alisema nami 15 years back. Yakwamba vita kubwa ya Dunia inakuja na leo nashuhudia jambo Hilo.

Siandiki sana ila tusali jambo zito sana laweza ikumba Dunia na kuleta maafa makubwa kwa binadam. Ambayo hayajawahi tokea.

Wanausalama wamagharibi wanaimani jamaa atapotelea usingizini hivyo wanarefusha vita wakisubiri muda.

Jamaa anajuwa atazima na hana chakupoteza ameshakula maisha ila hataki kwenda pekeyake anatamani aondoke nakila anaye muhitaji ama kwahakika tusali.

Kuna mnyukano mkali waki intelligence kiasi Dunia muda wowote itasimama....😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤐🤐🤐🤐🤐
Hamna kituu...
 
Back
Top Bottom