Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama Congress watampa authorization ya kuvamia Syria hasa ukitilia maanani jinsi Congress ilivyomkwamisha katika agenda zake nyingi za awamu ya kwanza na ya pili pia. On top of that less than 30% of Americans support O's intentions. Tusubiri tuone.

Na akihutubia muda mfupi uliopita:
1. He is comfortable taking military action without UN authorisation
2. He is aware that most people in American prefer not to take military action, but he says that, it is impossible to resolve Syria's crisis without military action
3. He believes that he has authority to take military action without Congress approval, but let debate on it

Kazi ipo
 
Breaking news source : BBC
Obama anasema ameaisha aamua kushambulia serikali ya Syria kuiadhibu kwa kitendo cha kuua zaidi ya watu 1000 kwa silaha za sumu. anasema yupo confortable kupiga bila with or without support ya UN. Anasubiri congress.

HAPANA... No Strike na Anasubiri CONGRESS APPROVAL, Congress wanarudi Sept 9th 2013; Halafu wanatakiwa kujadili na CONGRESS na SENATE wapige kura kukubali au kukataa strike...

Kwahiyo sio lazima WATAIPIGA MABOMU SYRIA...

KWAHIYO anasubiri Uhakiki toka kwa Wananchi wa Marekani...
 
Haya kumekucha! Naona jaluo katoka kutoa tamko kuwa US is going to take action in Syria.
Kama una ndugu au marafiki kule Syria waambie wafunge virago
Hawa jamaa mimi huwa nawakubali sana,kauli zao huwa hazipiti bure!
 
hotuba yake nimeiskiliza imejaa woga,huenda wakashndwa kuivamia.hapa ndo namkubali Mh.bushi

BUSH aliishambulia IRAQ bila uhakika wowote wa kuwa na SILAHA za SUMU; Na Angalia DUNIA ilivyo sasa..
OBAMA anajua KATIBA ya MAREKANI lazima aifuate...

MABOMU sio suluhisho la AMANI ndio OBAMA anavyosema... BIG UP TO OBAMA...
 
Obama ana uwezo wa kupiga hata bila ruhusa ya Congress. Kujifanya anataka ruhusa ni dalili ya uwoga uliochanganyika na uwewesekaji.
 
HAPANA... No Strike na Anasubiri CONGRESS APPROVAL, Congress wanarudi Sept 9th 2013; Halafu wanatakiwa kujadili na CONGRESS na SENATE wapige kura kukubali au kukataa strike...

Sahihisho...Congress ndiyo bunge lakini lina chemba mbili: Senate na House of Representatives.

Kwa hiyo inaposemwa Congress maana yake ni chemba zote mbili kwa ujumla wake na si House of Representative tu.

Huwezi ukasema Congress na Senate kwa sababu Senate ni one half ya Congress. Ukisema Senate na House/House of Representative hapo sawa.
 
Siamini katika ideas za kwamba through ma-vita ndio amani ya kweli inaweza kupatikana...
 
BUSH aliishambulia IRAQ bila uhakika wowote wa kuwa na SILAHA za SUMU; Na Angalia DUNIA ilivyo sasa..
OBAMA anajua KATIBA ya MAREKANI lazima aifuate...

MABOMU sio suluhisho la AMANI ndio OBAMA anavyosema... BIG UP TO OBAMA...

Lakini Bush alipata congressional approval na John Kerry (remember I voted for it before I voted against it?), Hilary Clinton, Joe Biden, na wengine walipiga kura za ndiyo kwenda Iraq.
 
Marekani inaogopa kuishambulia Syria baada baada ya mshirika wake mkuu UK kusema hatashiriki. Naona kama vile Obama ana mashaka na kigugumizi katika kufanya maamuzi ya mwisho
 
HAPANA... No Strike na Anasubiri CONGRESS APPROVAL, Congress wanarudi Sept 9th 2013; Halafu wanatakiwa kujadili na CONGRESS na SENATE wapige kura kukubali au kukataa strike...

Kwahiyo sio lazima WATAIPIGA MABOMU SYRIA...

KWAHIYO anasubiri Uhakiki toka kwa Wananchi wa Marekani...

Kumbuka the president can order the military action with or without congressional authorization. Clinton did. Reagan did
 
Huyu Obama naye kapoteza dira

Mwanzoni alikuwa anataka kwenda bila idhini ya bunge lakini alipoona public opinion poll asilimia karibu 80 ya wananchi wanataka apate idhini kwanza leo ndo kabadilisha tune.

Na asilimia 50 ya Wamarekani hawataki nchi yao ijiingize katika huo mzozo wa Syria. Asilimia 44 wanaunga mkono.

Nearly 80 percent of Americans believe President Barack Obama should receive congressional approval before using force in Syria, but the nation is divided over the scope of any potential strike, a new NBC News poll shows.

Fifty percent of Americans believe the U.S. should not intervene in the wake of suspected chemical weapons attacks by Syrian President Bashar al-Assad, according to the poll. But the public is more supportive of military action when it's limited to launching cruise missiles from U.S. naval ships - 50 percent favor that kind of intervention, while 44 percent oppose it.

Source
 
Obama ana uwezo wa
kupiga hata bila ruhusa ya Congress. Kujifanya anataka ruhusa ni dalili
ya uwoga uliochanganyika na uwewesekaji.

umeonae hata mi nimeona hivyo inawezekana ameona mziki wa hapo syria si mchezo anatafuta gia ya kutoka hapo,mbona bush aliitwanga bila mjadala na congres.
 
Sidhani kama Congress watampa authorization ya kuvamia Syria hasa ukitilia maanani jinsi Congress ilivyomkwamisha katika agenda zake nyingi za awamu ya kwanza na ya pili pia. On top of that less than 30% of Americans support O's intentions. Tusubiri tuone.

Republican wanaweza kutumia turufu ya kisiasa kwa kuridhia jambo hilo ili kuondoa ile dhana ya Republican pekee ndio wanaopenda intervention mashariki ya kati. Kama unavyokumbuka, kampeni kubwa iliyomuingiza Obama ni kujifanya si mtu wa vita vya kidunia-hali iliyowapa wananchi wengi wampe imani naye. Sasa, itakuwa wababe wa Republican walioko jeshini na serikalini kwa ujumla wameshampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili aweke mambo-draw kuhusu vita. Maana ikitokea anaingiza jeshi Syria halafu lisimalize operation hadi next generation huku askari wao wakiuawa, means Democratic hawana chao kwa vyovyote iwavyo katika uchaguzi ujao. Ndio utaona raha ya kuwa na vyama viwili vyenye nguvu katika utawala wa nchi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lazima wampige, na kwa kitendo alichofanya Assad na support hicho kichapo 100% na ikiwezekane wamwinde na yeye mwenyewe. Kazi ya serikali ni kutumikia wananchi na sio kuwaangamiza kama kuku sababu tu wanakupinga. Mrusi atakaa kimya kama vile hakuna kinachoendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom