Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Status
Not open for further replies.
Kumbuka the president can order the military action with or without congressional authorization. Clinton did. Reagan did

Oh yeah...na yeye Obama na Biden walikuwa wanamtishia kum-impeach Bush endapo ange-order attack kwa Iran na nuclear facilities zake.

Actually Biden alisema rais hana constitutional authority ya kufanya hivyo. Hata Obama naye alisema kwamba rais hana constitutional authority ya ku order military attack bila authorization from congress. Angalia kuanzia sekunde ya 55. Funny how politics works.

 
Last edited by a moderator:
Siamini katika ideas za kwamba through ma-vita ndio amani ya kweli inaweza kupatikana...

Obama haendi kupiga Syria ili kutafuta amani. Anaenda kumuadhibu Assad kwa kutumia silaha za kemikali.
 
hawa war mongers wameshapata sababu za kujihalalishia uvaamizi wao syria sio?
 
...But please remember that Republicans are wary to support another invasion after what happened in Iraq. Let's wait and see the debate about this "invasion"

Republican wanaweza kutumia turufu ya kisiasa kwa kuridhia jambo hilo ili kuondoa ile dhana ya Republican pekee ndio wanaopenda intervention mashariki ya kati. Kama unavyokumbuka, kampeni kubwa iliyomuingiza Obama ni kujifanya si mtu wa vita vya kidunia-hali iliyowapa wananchi wengi wampe imani naye. Sasa, itakuwa wababe wa Republican walioko jeshini na serikalini kwa ujumla wameshampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili aweke mambo-draw kuhusu vita. Maana ikitokea anaingiza jeshi Syria halafu lisimalize operation hadi next generation huku askari wao wakiuawa, means Democratic hawana chao kwa vyovyote iwavyo katika uchaguzi ujao. Ndio utaona raha ya kuwa na vyama viwili vyenye nguvu katika utawala wa nchi.
 
Mwanzoni alikuwa anataka kwenda bila idhini ya bunge lakini alipoona public opinion poll asilimia karibu 80 ya wananchi wanataka apate idhini kwanza leo ndo kabadilisha tune.

Na asilimia 50 ya Wamarekani hawataki nchi yao ijiingize katika huo mzozo wa Syria. Asilimia 44 wanaunga mkono.



Source

Dira kapoteza huyu jamaa, nilikua naangalia bunge la uk kuna wabunge walikuwa wanatukana na Obama foolish red line.
Bashaar Asad naye akatukana kweli "insult of common sense". Na leo Putin kamaliza na "utter non-sense". Sasa jamaa si aamue moja tu.
 
ikiwezekane wamwinde na yeye mwenyewe.
Mkuu this is obvious,Yuko wapi Saddam Hussein,yuko wapi Mohammad Gaddafi?Huyu Assad siku zake zinahesabika!Mullah Omar waliachana naye kwa kuwa walikuwa hawana shida naye bali walikuwa wanshida na Osama Bin Laden!
 
Nimemsikiliza Obama,nimemkubali.ktk hotuba yake kasema atachukua hatua kali dhidi ya Syiri hata kama mataifa mengine hayatakubaliana na msimamo wa US.
 
Mwanzoni alikuwa anataka kwenda bila idhini ya bunge lakini alipoona public opinion poll asilimia karibu 80 ya wananchi wanataka apate idhini kwanza leo ndo kabadilisha tune.

Na asilimia 50 ya Wamarekani hawataki nchi yao ijiingize katika huo mzozo wa Syria. Asilimia 44 wanaunga mkono.



Source

Acha kuongopa wewe. Leo ndiyo kwa mara ya kwanza Obama amesema ''U.S should take a military action against Syria.'' Hiyo mwanzoni unayosema alikuwa tayari kupiga bila ruhusa ya Congress ilikuwa lini?
 
Marekani inaogopa kuishambulia Syria baada baada ya mshirika wake mkuu UK kusema hatashiriki. Naona kama vile Obama ana mashaka na kigugumizi katika kufanya maamuzi ya mwisho
CBS/AP/ August 30, 2013, 6:21 AM
Syria strike still "on the table" in France after U.K. lawmakers yank Britain out of Obama's coalition

AP120518032707_620x350.jpg

President Obama meets French President Francois Hollande in the Oval Office at the White House file photo. / AP

PARISFrench President Francois Hollande said his country could go ahead with plans to strike Syria for allegedly using chemical weapons despite the British parliament's failure to endorse military action.
"The chemical massacre of Damascus cannot and must not remain unpunished," Hollande said in an interview with the newspaper Le Monde, published on Friday.
The French president reiterated that France wants a "proportional and firm action" but said when asked about the type of intervention that "all options are on the table."

© 2013 CBS Interactive Inc. All Rights Reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten, or redistributed. The Associated Press contributed to this report.




 
[h=1]Syria crisis: Western military options[/h]By Jonathan MarcusBBC defence correspondent. 30 August 2013 Last updated at 10:14 ET
_69502561_69502558.jpg

Continue reading the main story[h=2]Syria conflict[/h]


All the signals from Washington suggest that military action against Syria is a strong possibility. Contingency plans are being drawn up, potential target lists are being reviewed and various military assets are being moved into position.
The US Navy is re-positioning several vessels, including four cruise missile-carrying destroyers in the eastern Mediterranean and probably a missile-firing submarine.
If more firepower is needed, two US aircraft carriers could launch air strikes, and land bases in Turkey and Cyprus might also be used. French air power could also play a part.
_69559262_syria_strikes_624_v2.jpg


Forces which could be used against Syria:
• Four US destroyers - USS Gravely, USS Ramage, USS Barry and USS Mahan - are in the eastern Mediterranean, equipped with cruise missiles. The missiles can also be fired from submarines, but the US Navy does not reveal their locations
• Airbases at Incirlik and Izmir in Turkey, and in Jordan, could be used to carry out strikes
• Two aircraft carriers - USS Nimitz and USS Harry S Truman are in the wider region
• French aircraft carrier Charles de Gaulle is currently in Toulon in the western Mediterranean
• French Rafale and Mirage aircraft can also operate from Al-Dhahra airbase in the UAE
 
Kwanini atumie kemikali kuua raia badala ya kemikali kuua rebel? hapo Assad ndo anakwambia "Insult of common sense"

Sijui unaelewa kuwa miaka 100 iliyopita dunia ilipiga marufuku matumizi ya silaha za kemikali?
 
[h=1]US hawks slam Obama as world awaits Syria strike[/h]Senator John McCain took to the airwaves to call Obama's plans "shameful."
"The president apparently wants to have a kind of a cosmetic strike, launch a few missiles and then say: 'Well, we responded.'," McCain told chat show host Jay Leno on NBC television.
"This is the same president that, two years ago, said Bashar al-Assad had to go. It's also the president that said that there would be a red line if they used chemical weapons," he said.
"Maybe that red line was written in disappearing ink? I don't know. But we have to be as good as our word. And is there any good options? No."
View gallery."

US Senator John McCain is pictured during a Senate hearing on November 15, 2011 in Washington, DC. M …

McCain said that if he were commander-in-chief, as he had hoped to be after the 2008 election he lost to Obama, he would destroy the Syrian regime's airbases and arm rebel fighters.
"To our everlasting shame, not one single weapon from the USA has reached the hands of General Idris and the Free Syrian Army. That is shameful, in my view," he declared.
In May, McCain -- a neoconservative 77-year-old former Vietnam War prisoner of war -- traveled to Syria and met rebel leaders fighting Assad.

d19448d6-6aaa-4359-a768-eadacf5fbca9_afp-gif_new.gif
 
Congress haitarajiwi kurudi DC na kuanza madahalo hadi tarehe 9 Septemba na hakuna uhakika kama watapiga kura kuunga mkono mashambulizi ya kijeshi.

Ikitokea kama yaliyotokea bunge la Uingereza sijui ndo itakuwaje sasa. Kwenye hii ishu nzima Obama alichemka alipochora mstari wake mwekundu.
 
Kwanini mkuu,Asad lazima avune alichopanda!

Sasa tusubiri reaction ya wachimba mkwara (Iran & Russia)!cc Yericko Nyerere

Mpaka leo sijaona mpango kamili wa kivita ndani ya Moscow au Beijing,

Ikiwa hali itakuwa kama walivyoahidi,

Mimi nitakuwa upande wa haki wa Urusi na Uchina,

Uvamizi wa mabeberu hawa wa USA na UK haukubali kabisa, silaha za maangamizi zimetumia na CIA kwa siri sana pale Syria tangu wezi wa sita, leo wanasema ni Serikali ya Syria,

Sasa tusubiri vita kuu ya Tatu ya Dunia,
 
Last edited by a moderator:
Congress haitarajiwi kurudi DC na kuanza madahalo hadi tarehe 9 Septemba na hakuna uhakika kama watapiga kura kuunga mkono mashambulizi ya kijeshi.

Ikitokea kama yaliyotokea bunge la Uingereza sijui ndo itakuwaje sasa. Kwenye hii ishu nzima Obama alichemka alipochora mstari wake mwekundu.

Alitakiwa akae kimya kuliko ku-draw red line. Nina imani kule congress majority ya kura zitakuwa NEY.
Kazi anayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom