MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Unadandia treni kwa mbele weye, hapa si NzegaNonda, amesha kujibu hii post?
Unadandia treni kwa mbele weye, hapa si NzegaNonda, amesha kujibu hii post?
Wataalamu wa kuweka vizuizi wamefanya International forum ipotee. Hawataki hoja mbadala? Inawezekanaje majukwaa mingine yaepuke vizuizi na yafunguke isipokuwa Jukwaa la Kimataifa? Mods mnapiga usingizi au ni hujuma tu?