Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Status
Not open for further replies.
Credibility ya O" tupa kuleeeee...Republicans watakuwa wamefurahi sana kuona jamaa reputation yake hasa katika nchi marafiki imeingia dosari baada ya nyingi ya nchi hizo kukataa uvamizi dhidi ya Syria na uvamizi ambao majority ya Wamarekani hawautaki kabisa.
 
Hii vita ya Syria imekuwepo tokea 2011. Inasadikika zaidi ya watu laki moja washapoteza maisha yao kutokana nayo. Kwa nini leo iwe nongwa hadi watake kwenda kudondosha mabomu yao huko na si mwaka jana wala juzi?

They don't make sense at all. It's like they are saying it's ok to kill masses of people using conventional weapons but it's not ok to kill some 1,400 people using chemical weapons.

In the end what's the diff.? Killing is killing as far as I'm concerned.

Halafu Obama, Biden, na Kerry walikuwa mstari wa mbele sana kumkosoa Bush kuhusu unilateralism lakini eti leo hii wao ndo wanaikumbatia. Hahahahaaa yaani siasa bana. Full unafiki tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani walivyompiga vita Bush katika uvamizi wa Iraq halafu leo kugeuka na kupigia debe uvamizi wa Syria. Walikuwa wapi miaka yote hii tangu 2011 maelfu ya Wasyria wakiuwawa kwa maelfu kila siku. Sasa ndio wameamka na kutaka kwenda kufanya uvamizi wa kurusha mabomu ya masafa ya mbali for few days na kuwauwa more innocent people kisha kujipiga kifua "mission accomplished"...Jamaa kaniboa sana.

Hii vita ya Syria imekuwepo tokea 2011. Inasadikika zaidi ya watu laki moja washapoteza maisha yao kutokana nayo. Kwa nini leo iwe nongwa hadi watake kwenda kudondosha mabomu yao huko na si mwaka jana wala juzi?

They don't make sense at all. It's like they are saying it's ok to kill masses of people using conventional weapons but it's not ok to kill some 1,400 people using chemical weapons.

In the end what's the diff.? Killing is killing as far as I'm concerned.

Halafu Obama, Biden, na Kerry walikuwa mstari wa mbele sana kumkosoa Bush kuhusu unilateralism lakini eti leo hii wao ndo wanaikumbatia. Hahahahaaa yaani siasa bana. Full unafiki tu.
 
Wamarekan fitna sana, wanauchungu sana na Wasyria kuliko Raia wa Mashariki ya Congo wanauouwa na Kagame tangu 1994 kwa kisingizio cha Interahamwe, Wanasema intelijensia yao imegundua Assad katumuia hizo silaha lakin hawakujishughulisha kujua kazipata wapi maana wao ndo wauzaj wakubwa wa silaha hizo za 'sumu'!
 
Kwani ulizungumzia ngono?
Au umesahau ulichoongea/
Hikihapa:
ACHA UONGO wewe, utakuwa kijana wa siku za hivi karibuni. Umelishwa Propaganda hadi hujielewi.

Hadi leo, bunduki pekee iliyouwa watu wengi duniani ni AK-47 - MRUSI. Hata NATO walii-copy.

Submarine ya kwanza inayotumia Atomic Energy ilikuwa ya USA, ila kwa leo hii mwenye dude kubwa ni Russia. Inavyokuja kwenye Missiles, Mrusi yupo mbali sana.

Ningelikubaliana na wewe ungelisema, USA wanashinda kwenye silaha nyingi ila siyo zote.

Wakati USA ana Bomu liitwalo "Mother of all Bombs -GBU-43/B Massive Ordnance Air Blast", Mrusi yeye analo la kwake linaitwa "Father of all Bombs - Aviation Thermobaric Bomb of Increased Power ". Vipi kuhusu TSAR Bomb?

Ila ukweli ni huu kwamba, RUSSIA na USA hawawezi kupigana. Ni MJINGA tu anaweza kufikiri hawa jamaa watapigana. Kwa miaka mingi wamekuwa wakigawana Pande mbili na kuwapa silaha ili wajaribie waone zinavyofanya kazi. Vita baridi ya dunia, hawa jamaa walikuwa wakishirikiana kwa nyanja nyingi sana. Imeshasemwa wazi kuwa hata APOLLO wakati inakwenda mwezini, Warusi walisaidia kuitengeneza.

Mrusi aliweka Space Station yake peke yake angani (MIR) na USA akashindwa. Walipotaka kuweka ya Kimataifa, ilibidi wamuombe Mrusi awasaidie kwa kuwa ndiyo mtu pekee alikuwa na uzoefu huo. Hata kukitokea Vita kati ya USA vs sijui nani, Mrusi atashika upande wa USA, na hivyo hivyo kwa Russia. Ni Mabest sana hawa jamaa na msifuate wanavyozuga kwenye TV. Hata kabla ya uchaguzi, Microphone ilimnasa Obama akimwambia Kigogo wa Russia "Mwambie President, uchaguzi ukiisha, nitakuja tutete..."

Nahitaji huo ushahidi!
 
GOOGLE ni ushahidi tosha. Kama unatumia Mchina, pole sana siwezi kukusaidia maana mie siyo WIKIPEDIA yako.

Hivyo vyote nimeandika waweza kuviona kwenye Wikipedia, Youtube na WWW kibao.

Kwa nini askari wa USA wanaipenda AK-47? 5 Things You Didn't Know: AK-47 - AskMen

We kweli kilaza

Sasa ule "ushahidi" wa kwanza uliutoa wapi?

By the way,hapa najadiliana na google?

Nani amekuambia kila unachoona google ni ukweli?

Kwanini unwaazima watu uwezo wako wa kufikiri?

Kama umeipata Google au siju www au encyclopedia au umetunga si uiweke hapa?
 
STORY HIGHLIGHTS

  • Russia has sold billions of dollars in arms to Syria
  • Iran is the most populous Shiite Muslim nation; al-Assad is Alawite, a Shiite offshoot
  • China said it still wants to see a political solution in Syria

READ THE ARTICLE
 
Sasa kama mimi KILAZA, kwa nini unaniomba USHAHIDI?

1344112524740_4390422.png
Samahani Mkuu, umeshinda kwa uzoefu. Sina USHAHIDI.
We kweli kilaza

Sasa ule "ushahidi" wa kwanza uliutoa wapi?

By the way,hapa najadiliana na google?

Nani amekuambia kila unachoona google ni ukweli?

Kwanini unwaazima watu uwezo wako wa kufikiri?

Kama umeipata Google au siju www au encyclopedia au umetunga si uiweke hapa?
 
Russia hana ubavu wa kuingia vitani dhidi ya US na marafiki zake, wataishia kupeleka silaha tu ili kuzijaribu. Uchumi wa Russia ni mdogo mno kuhimili vita dhidi ya Wamarekani, Wafaransa na Waingereza.

Kwa data za 2012 uchumi wa Russia ni just one-tenth of US economy. Kwa wanaoshabikia tu kwa emotions huwa hawazipendi hizi facts. Wakati wa vita nchini Libya, kuliwa na wachina zaidi ya 35,000 huko Libya; but US & company walipoanza kampeni yao dhidi ya Gaddafi mchina ilibidi alete meli ku-evacuate watu wake ili kuepusha shari...
 
Nchi zilizo kwenye security council,zile zenye veto power kuna charter inawazuia kupigana directly,ndo maana inawabidi kutumia proxy.ikitokea kupigana hiyo inakua vita kuu.
 
ACHA UONGO wewe, utakuwa kijana wa siku za hivi karibuni. Umelishwa Propaganda hadi hujielewi.

Hadi leo, bunduki pekee iliyouwa watu wengi duniani ni AK-47 - MRUSI. Hata NATO walii-copy.

Submarine ya kwanza inayotumia Atomic Energy ilikuwa ya USA, ila kwa leo hii mwenye dude kubwa ni Russia. Inavyokuja kwenye Missiles, Mrusi yupo mbali sana.

Ningelikubaliana na wewe ungelisema, USA wanashinda kwenye silaha nyingi ila siyo zote.

Wakati USA ana Bomu liitwalo "Mother of all Bombs -GBU-43/B Massive Ordnance Air Blast", Mrusi yeye analo la kwake linaitwa "Father of all Bombs - Aviation Thermobaric Bomb of Increased Power ". Vipi kuhusu TSAR Bomb?

Ila ukweli ni huu kwamba, RUSSIA na USA hawawezi kupigana. Ni MJINGA tu anaweza kufikiri hawa jamaa watapigana. Kwa miaka mingi wamekuwa wakigawana Pande mbili na kuwapa silaha ili wajaribie waone zinavyofanya kazi. Vita baridi ya dunia, hawa jamaa walikuwa wakishirikiana kwa nyanja nyingi sana. Imeshasemwa wazi kuwa hata APOLLO wakati inakwenda mwezini, Warusi walisaidia kuitengeneza.

Mrusi aliweka Space Station yake peke yake angani (MIR) na USA akashindwa. Walipotaka kuweka ya Kimataifa, ilibidi wamuombe Mrusi awasaidie kwa kuwa ndiyo mtu pekee alikuwa na uzoefu huo. Hata kukitokea Vita kati ya USA vs sijui nani, Mrusi atashika upande wa USA, na hivyo hivyo kwa Russia. Ni Mabest sana hawa jamaa na msifuate wanavyozuga kwenye TV. Hata kabla ya uchaguzi, Microphone ilimnasa Obama akimwambia Kigogo wa Russia "Mwambie President, uchaguzi ukiisha, nitakuja tutete..."

Una ushahidi gani wa haya usemayo?

Hebu ulete hapa huo ushahidi kama unao!!!

Kwani ulizungumzia ngono?
Au umesahau ulichoongea/
Hikihapa:

Nahitaji huo ushahidi!

GOOGLE ni ushahidi tosha. Kama unatumia Mchina, pole sana siwezi kukusaidia maana mie siyo WIKIPEDIA yako.

Hivyo vyote nimeandika waweza kuviona kwenye Wikipedia, Youtube na WWW kibao.

Kwa nini askari wa USA wanaipenda AK-47? 5 Things You Didn't Know: AK-47 - AskMen

We kweli kilaza

Sasa ule "ushahidi" wa kwanza uliutoa wapi?

By the way,hapa najadiliana na google?

Nani amekuambia kila unachoona google ni ukweli?

Kwanini unwaazima watu uwezo wako wa kufikiri?

Kama umeipata Google au siju www au encyclopedia au umetunga si uiweke hapa?

Sasa kama mimi KILAZA, kwa nini unaniomba USHAHIDI?

1344112524740_4390422.png
Samahani Mkuu, umeshinda kwa uzoefu. Sina USHAHIDI.

Hata mwenye matatizo ya akili atakushangaa!!!!!
 
Na akihutubia muda mfupi uliopita:
1. He is comfortable taking military action without UN authorisation
2. He is aware that most people in American prefer not to take military action, but he says that, it is impossible to resolve Syria's crisis without military action
3. He believes that he has authority to take military action without Congress approval, but let debate on it

Kazi ipo
 
Breaking news source : BBC
Obama anasema ameaisha aamua kushambulia serikali ya Syria kwa kitendo cha kuua zaidi ya watu 1000 kwa silaha za sumu. anasema yupo confortable kupiga bila with or without support ya UN. Anasubiri congress.
 
Afadhari, hii sasa itawarudisha nyuma mumia wote USA France na UK wanaoendesha mauaji ya sumu huko Syria kisha wanasema ni serikali ya Assad wakati ni uongo!
Mkuu hakuna kitu,hawa jamaa zako ni waoga sana,wanaishiaga kusema hivyohivyo,alafu wanafyata mikia yao!hawahawa ndiyo walipiga mkwara wakati IRAQ,AFGANISTAN,na LIBYA zinavamiwa kijeshi,lakini mwisho wa siku kimya!Yuko wapi Saddam Hussein,Yuko wapi Mullah Omari,yuko wapi Mohammad Gaddafi?

Yuko wapi Mahmud Ahmadinejad aliyeahidi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia,na ikabaki kuwa ndoto ya mchana,tena ndoto ya tahira asiyejua nini kinaendelea hapa duniani!

Dunia itabadilishwa na watu wanaosema na kutekeleza na si wapayukaji!
 
hotuba yake nimeiskiliza imejaa woga,huenda wakashndwa kuivamia.hapa ndo namkubali Mh.bushi
 
Mkuu hakuna kitu,hawa jamaa zako ni waoga sana,wanaishiaga kusema hivyohivyo,alafu wanafyata mikia yao!hawahawa ndiyo walipiga mkwara wakati IRAQ,AFGANISTAN,na LIBYA zinavamiwa kijeshi,lakini mwisho wa siku kimya!Yuko wapi Saddam Hussein,Yuko wapi Mullah Omari,yuko wapi Mohammad Gaddafi?

Yuko wapi Mahmud Ahmadinejad aliyeahidi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia,na ikabaki kuwa ndoto ya mchana,tena ndoto ya tahira asiyejua nini kinaendelea hapa duniani!

Dunia itabadilishwa na watu wanaosema na kutekeleza na si wapayukaji!

Haya kumekucha! Naona jaluo katoka kutoa tamko kuwa US is going to take action in Syria.
Kama una ndugu au marafiki kule Syria waambie wafunge virago
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom