Hajapoteza chochote!Alitakiwa akae kimya kuliko ku-draw red line. Nina imani kule congress majority ya kura zitakuwa NEY.
Kazi anayo
Marekani ana mkono katika mafuta ya Saudi Arabia hivyo amefanikiwa kupandisha bei ya mafuta, wengi wanahofia kuwa vita itasambaa hivyo bei ya mafuta ipo juu sasa.