Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Status
Not open for further replies.
It is good time to test between US and Russia, Israel and Iran: which country have the highest technology.

Russia hana ubavu wa kuingia vitani dhidi ya US na marafiki zake, wataishia kupeleka silaha tu ili kuzijaribu. Uchumi wa Russia ni mdogo mno kuhimili vita dhidi ya Wamarekani, Wafaransa na Waingereza.
 
post kama za kwako nikiona huwa nacheka sana

Kweli knowledge ya Millitary bado sana kwa Watanzania
anyway tutafika tu...
ila naomba nikuulize swali dogo tu
unajua maana ya

Intercontinental ballistic missile with nuclear warhead

hii inamaanisha mtu huyu anaweza kukunyamazisha within hours akiku TIME na kila mtu akaendelea na shughuli zake
 
Mkuu Mrusi na Mchina hawatupani hawa watu, lazima China ata-support tu swahiba wake.Wana ndoa ya kudumu hawa watu toka enzi za kijamaa miaka hiyo.

Mkuu mchina hana upande, ni nchi ambayo imebadilika sana toka baada ya kumwondoa Mao.. hawa ni watu wa maslahi sana tena tofauti yao na wamarekani ni mfumo wa serikali na kuwa neutral mara nyingi na kutengeneza pesa!!! trust me akilianzisha Rusia ajue namna ya kulimaliza asije fikri China yupo naye, china anapima upepo na kuangalia wapi atanufaika na ni wazi atajiunga na western.. tungoje itoke vita na si matamko kama mchina utamskia!! atakuwa kimya akimake money
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa mchina amebadilika na kwasasa yupo kimaslahi zaidi.Lakini kamwe usitegemee China anaweza kumgeuka Mrusi na kujiunga na westerners wakati mpaka sasa asilimia kubwa ya technolojia ya silaha za kivita anategemea toka kwa mrusi na kama isitoshe vikosi vya jeshi vya china na urusi mara kwa mara wanafanya joint military training. Mpaka sasa ninapoongea chochote asemacho Mrusi mchina daima hufuata na China akisema chochote kuiambia Dunia Mrusi anaunga mkono mara moja. Kusema Mchina ajiunge na westerners katika suala la Syria ni sawa na kusema U.K ajitenge na U.S.A
 
Soma post namba 36.[/QUOTE

Mimi leo najibu kwa kuuliza maswali then majibu utakuwa nayo wewe hapo

1)Ni nchi ngapi hazizipendi utawala wa Magharibi?

kukusaidia ni Korea ya kaskazini na Iran

2) unahisi kuwa hakuna mataifa ambayo yako tayari kwa ajili ya kumpa support mrusi na kama mrusi?

3) mataifa kama cuba, ecuador, venezuela yatasimama upande upi?

4) kama marekani na washirika wake wana uhakika wa kumpiga urusi kwanini sasa hivi wanagwaya gwaya?

5) Hujiulizi Mrusi kajiamini nini mpaka kuwa kifua mbele??

BTW hivi ni akili yangu mie au kuna mtu mwingine kaona kuwa inshu ya snowden sio kama tulivyokuwa tunafikiria iko mwanzo?

ni mimi tu au kuna mwingine kaona kuwa snowden alikuwa ni plant ya KGB ?
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa mchina amebadilika na kwasasa yupo kimaslahi zaidi.Lakini kamwe usitegemee China anaweza kumgeuka Mrusi na kujiunga na westerners wakati mpaka sasa asilimia kubwa ya technolojia ya silaha za kivita anategemea toka kwa mrusi na kama isitoshe vikosi vya jeshi vya china na urusi mara kwa mara wanafanya joint military training. Mpaka sasa ninapoongea chochote asemacho Mrusi mchina daima hufuata na China akisema chochote kuiambia Dunia Mrusi anaunga mkono mara moja. Kusema Mchina ajiunge na westerners katika suala la Syria ni sawa na kusema U.K ajitenge na U.S.A

Mkuu sikatai, ila kumbuka huyu mchina na wawekezaji wake.. yeye mahusiano makubwa ya kibiashara na western kuliko Urusi na ndiyo mana nasema atamuunga mkono kwenye matamko ila si kwa vita hasa ukizingatia mchina yeye anaweza pata maslahi pande zote.. hatakuwa tayari kwenye kurisk her fortune kwa ajili ya Urusi.. hawa jamaa wamewekeza sana kwenye masoko ya marekani na hata EU kuliko Mrusi ivyo kumuunga mkono mrusi dhidi ya western ni kutangaza kiama cha biashara.. ndiyo mana nasema jamaa atakuwa neutral akiangalia sinema na kutafuta namna ya kunufaika kwa kuuza silaha..
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa mchina amebadilika na kwasasa yupo kimaslahi zaidi.Lakini kamwe usitegemee China anaweza kumgeuka Mrusi na kujiunga na westerners wakati mpaka sasa asilimia kubwa ya technolojia ya silaha za kivita anategemea toka kwa mrusi na kama isitoshe vikosi vya jeshi vya china na urusi mara kwa mara wanafanya joint military training. Mpaka sasa ninapoongea chochote asemacho Mrusi mchina daima hufuata na China akisema chochote kuiambia Dunia Mrusi anaunga mkono mara moja. Kusema Mchina ajiunge na westerners katika suala la Syria ni sawa na kusema U.K ajitenge na U.S.A

BINADAMU NI ZAIDI YA UMJUAVYO MKUU HIZI PICHA MBILI UKIZIANGALIA KWA MAKINI UTAJUA NAONGELEA NINI

9k=
2Q==
 
Natamani nyukilia mbili tu zidondoshwe pale Israel mithili ya Hiroshima na Nagasaki
 
BINADAMU NI ZAIDI YA UMJUAVYO MKUU HIZI PICHA MBILI UKIZIANGALIA KWA MAKINI UTAJUA NAONGELEA NINI

9k=
2Q==

Samahani mkuu unaweza ukabadilisha format ya hizo pictures nizione!Maana naona zinanigomea kufunguka.
 
Hakuna watu wanafiki kama warusi. Wakati wa vita vya iraq waliongea pumba kama hizi lakini hakuna alichofanya. USA na Russia hawa walisha kubaliana, Urusi amwazibishe chechnia anavyotaka na Marekani awashughulikie waarabu. Ndio maana jadi leo husikii habari ya vichapo wanavyopewa chechnia na Urusi.
Syria atapigwa tu na Assad watamuinda, hio si muda mrefu na Urusi atakaa kimya.
 
New World Order Hakuna mpinzan awe uyo Putin wala nyau gani cjui, sasa wakipiga Syria wanaamia Moscow ndo mtajua who 2 call father of the world!!!
 
Vita kuu ya dunia inatunyemelea tena?

Syria haiwezi kuleta vita kuu ya Dunia Marekani amesha target sehemu 170 ambazo hazina shaka kuzimaliza kisha anakaa pembeni anamuachia Muingereza na Israel... Urusi hana kitu silaha zake zinahistoria ya kutulizwa mapema sana na Israel kila ajaribupo.... Urusi kawafanya waarabu kama eneo lake la Majaribio ya Silaha zake na zote hazifui Dafu kwa silaha za Israel..... Tizama jana aliondoa raia wake wote nchini Syria na Assad nae kesha kimbia na Familia yake yupo Irani kwa sasa atabakia kutoa ishara kupitia kwenye TV tu....
 
Putin tunahitaji vitendo na Si maneno tu! Kama umeamua kuisaidia Syria isaidie kwa vitendo! Tunaitaji usawa duniani na Si mataifa mengine kuingilia uhuru na kuzitoa madarakani tawara halali za nchi nyingine! Marekani na Ulaya ni wanyonyaji na wakandamizaji wakubwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom