Halina unoma wowote,baadaya ya siku chache zijazo Assad atapoteza dola na hatimaye atapoteza maisha!hili gemu ni noma,, lets kip observing
Kwanini mkuu?Syria ana nini cha ajabu ukilinganisha na uimara aliokuwa nao Saddam Hussein kiongozi wa Iraq!US hawawezi kushambulia syria lets keep loading.
Upo sahihi kabisa mkuu!Syria anachapwa na Russia hatofanya kitu. Hii ndo USA bana world sheriff
Propaganda za kitoto. Repoti zinaonesha kabisa ndege za sep 11 zilitekwa na watu waliwapigia cm ndugu zao wakaconfirm na watekaji wanajulokana leo useme zilikuwa controlled na remote, crazy idea from crazy people. Russia nadhani wanakoelekea watakuwa taifa la propaganda
Kumekucha kirumba...iran aingie,Urusi naye ,Korea Kaskazin naye atajionyesha hapa nahisi hii Vita inaipeleka dunia kwingine
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums