Vita baridi kati ya marekani na urusi haikuwa ya mchezo.
Na wakati mwingine ilichagizwa zaidi na MBIO za kushindanisha tekinolojia ya anga ambapo mara nyingi MAREKANI ilijikuta ikishindwa na urusi japo urusi hawakuwa waongeaji na watoa taarifa kama marekani.
Urusi ndio walikuwa wa kwanza kupeleka chombo angani baadae marekani ikafata,Urusi walikuwa wa kwanza kupeleka chombo mwezini na marekani ikafata,urusi walikuwa wa kwanza kupeleke kiumbe hai mwezi baadae marekani ikafata.
VITA BARIDI ILIKUWA MBAYA ZAIDI.
marekani walipandisha makombora ya nyukilia katika anga ya UTURUKI na kutishia kuishambulia na kuipoteza kabisa urusi.
Hata urusi ilipolalamika UN marekani ilikuwa jeuri,MRUSI alitengeneza nuclear bomb interceptors dhidi ya makombora ya Marekani UTURUKI na wakatengeneza tena mabomu ya nyukilia NAO WAKAENDA KUYAPANDISHA KATIKA ANGA la CUBA tayari kuishambulia marekani,MAREKANI ikajaribu kutengeza ANT ya makombora lakini walishindwa kupata WAR HEAD(kichwa cha kombora) ya mabomu
ILIWABIDI WAOMBE YAISHE.1988