Unaunga mkono uombaji wa rushwa?Sehemu yoyote ukiwa mzito, mambo hayaendi; ndivyo ulimwengu ulivyo....ndio maana hata madhabahuni tunahimizwa kutoa, ili kupata huduma ya kiroho
Unaunga mkono uombaji wa rushwa?Sehemu yoyote ukiwa mzito, mambo hayaendi; ndivyo ulimwengu ulivyo....ndio maana hata madhabahuni tunahimizwa kutoa, ili kupata huduma ya kiroho
Unamaanisha nini?Ningepata hyo connection ningetoa pesa zangu TU.!!
Kuna Dada mmoja alipewa Namba na jamaa pale ndani nikamkimbilia Dada anipe Namba aligoma katakata.
Yani angenipa leo hii ningekuwa nimeshapandisha vyumba viwili vya kulala na sebule pia.
Ukitaka uone huu ulimwengu hauko sawa, ugua ugonjwa mkubwa ulazwe hospitaliUnaunga mkono uombaji wa rushwa?
Na pesa ni yako, tena unaitoa kw lazima. Lakini ukistaafu, unawabembeleza wakupe.Yawezekana ni ukweli.
Nilifuatilia hela yangu ambayo ilitolewa kwenye lumsum payment yangu kwa kuwa mwajiri alichelewesha marejesho hivyo miezi zaidi ya 20 ikatolewa kwenye hela yangu.
Nilifuatilia ofisi ya kibaha nikaambiwa niende ilala .
Nilienda ilala hakuna kilichofanyika hadi leo, naona vile sikuwapa hela na ukweli sina hizo hela.
Hii mifuko ina urasimu mkubwa.
Mara baada ya kuambiwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake, mambo hayo sasa yapo hadharani kabisa bila kificho. Sasa ukifika ofisini kwao unaonekana kama Mzee Ombaomba ilhali unafuatilia mafao yako. Zamani walikaribishwa kwa heshima na kupewa jina walilostahiki la Mzee Mstaafu. Ama kweli fedha fedheha.saana!mbaya zaidi sasa hivi wanadai waziwazi bila aibu
Yeye mwenyewe yupo Anachungulia Uzi unavyoendelea, mpuuzi mmoja.NARUDIA TENA MIMI NI MHANGA MWAKA WA PILI KUNA MTU NILIELEKEZWA KWAKE KWA KIMEMO. KUFIKA HANA CHA KUNIELEZA. ANAITWA ALLY MTOLEA LEO NIMEMTAJA KWA MARA YA PILI NDUGUZE KAMA WAPO HUMU WAKAMWAMBIE NA WAMKUMBUSHE SIJANYAMAZA KIMYA TU.
Hao wasiofanya vitendo hivyo wafuatilie ili kundi la ''wachache" lisiwachafue,Ndugu mdau inawezekana tuhuma zako ni za kweli Ila ungeweka na ushahidi ili aliyehusika ashughulikiwe maana Mimi ninaamini wapo wafanyakazi wengi wengine wa NSSF ambao hawafanyi vitendo hivyo.
ah,ahah ha ha.Nyumbu
Ilala hali ni mbaya sanaYawezekana ni ukweli.
Nilifuatilia hela yangu ambayo ilitolewa kwenye lumsum payment yangu kwa kuwa mwajiri alichelewesha marejesho hivyo miezi zaidi ya 20 ikatolewa kwenye hela yangu.
Nilifuatilia ofisi ya kibaha nikaambiwa niende ilala .
Nilienda ilala hakuna kilichofanyika hadi leo, naona vile sikuwapa hela na ukweli sina hizo hela.
Hii mifuko ina urasimu mkubwa.
Zile zama zilikua ngumu mno na za kukatisha tamaa,halafu uzuri hiyo 6m nilitoka kwenye interest niliyopata kwenye pesa yangu kumbe unapolipwa unapewa na interest kulingana na pesa yako. Interest nilipata zaidi ya 7m so pesa yangu ilibaki kama haijaguswa na nikabaki na chenji ya interest juuPole sana, imeniuma sana.. jasho lako wamekula wahuni.. ila kwa kipindi kile naweza elewa your decision kuwapa huo mzigo.
Watu kama nyinyi mnaweza kuiona pepa kwa mioyo safi na ndo sample ya viongozi wanaotakiwa, mtu mwenye hofu ya dhuluma na uonevu huwa mwema sana.Tatizo lipo kwa serikali irudishe zaidi ya trillion 3 ilizochota kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hzo zitatosha kulipa madai ya muda mrefu kwa watz waliowengiNiliisotea sana aisee,halafu nilikua naishi mkoani kwa hiyo go and return zilikua nyingi na ilikua imeshashindikana kwa taratibu za kawaida. Nilivyojicommit kuwapa 6m hata sikusumbuka tena kusafiri kila kitu wakawa wanafanya wao wananipa tu update. Siku wameandika chq wakanambia kesho mzigo utaingia na kweli mzigo ukaingia. Halafu pesa ilivyoingia nikawaza niwazulumu au niwawekee...nikajisemea as long as nilikubaliana nao na sijawahi mzulumu mtu acha tu niwawekee. Nikaenda bank nikafanya transfer nikawawekea. Hawakuamini,walinipigia mara mbilimbili kunishukuru maana walihisi ntawazulumu
Wacha hiyo wwHapa ndipo mtu unapomkumbuka hayati Magufuli, Mama anafanya kazi lakini she's too lame anamtegemea sana rais aliyeshindwa kuongoza nchi (Kikwete).
Amen to your comment SirWatu kama nyinyi mnaweza kuiona pepa kwa mioyo safi na ndo sample ya viongozi wanaotakiwa, mtu mwenye hofu ya dhuluma na uonevu huwa mwema sana.Tatizo lipo kwa serikali irudishe zaidi ya trillion 3 ilizochota kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hzo zitatosha kulipa madai ya muda mrefu kwa watz waliowengi
Hii inafanyikaje mkuu?Asee wale wakulipwa 33% ya mshahara kwa miez6 ndo wanachosha zaidi...
Mtu uneza pata hasira ukatamani kuwauwa ofisi nzima ile
Poa mkuu.Zile zama zilikua ngumu mno na za kukatisha tamaa,halafu uzuri hiyo 6m nilitoka kwenye interest niliyopata kwenye pesa yangu kumbe unapolipwa unapewa na interest kulingana na pesa yako. Interest nilipata zaidi ya 7m so pesa yangu ilibaki kama haijaguswa na nikabaki na chenji ya interest juu
Huyo ni mfanyakazi wa NSSF.Af wewe@shinyangakwetu siku zako zinahesabika,siku usiyodhani utaangukia kwenye mikono ya sheria.
kuna uzi humu unamuomba mh.rais aangalie upya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii
umen'gaka kule utadhani umeombwa wewe.
Kilichokuwa kinaelezwa kule kimeletwa huku ila kwa njia nyingine bado unawahi na kejeli zako
tutawachukulia fedha za moto na usidhani utachomoka.
Katika miscellaneous people na wewe umo, au ndio mhusika mkuu?Weka ushahi we dada