Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,887
- 29,069
Tatizo ukishawakamatisha huko takukuru hakuna atakayekusaidia kupata haki yako, woote watakususa.Dawa ni mdogo, unatoa taarifa takukuru, unawashikisha pesa za moto.
Shida inakuja unapogundua takukuru na wao wanataka kitu kidogo ili wakusaidie. [emoji85][emoji85]