Rushwa NSSF Ilala imekithiri mnooo, Msaada wa Takukuru unahitajika

ZamdaIssa

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
879
Reaction score
1,458
Jamani tunaomba msaada kwa mamlaka husika juu ya Uvundo huu uliokithiri Kwenye mfuko wa NSSF!Hali ni mbaya saana. Rushwa imekithiri mpaka imekuwa ndio sheria ya pale.

Ukienda kudai stahiki zako pale NSSF hakyamungu wale wafanyakazi pale kuanzia reception mpaka madirishani kote wanaomba rushwa waziwazi na ukisema huna utarudishwa mpaka utakata tamaa ya kufatilia stahiki zako!

Watu wanatoka mikoani ila kila siku wanazungushwa ili mradi utoe rushwa!!

Wale wahudumu pale dirishani anakuambia waziwazi umpatie pesa kidogo ili mambo yaende haraka [emoji27]!ukisema huna hela anakupa namba ya simu umtumie kwenye namba hiyo!hawajali jinsia!

Waliofanikiwa kupata mafao pale wana sema ukitaka kupata hela zako basi unagawana nao hela ndefu!kuna kijana wangu anafatilia million moja na nusu pale NSSF anaambiwa atoe Lakimoja 100,000/afanyiwe utaratibu!

Kila siku akifika pale na wenziwe wanaambiwa mtandao hamna!wiki ya 2 sasa anarudishwa bila sababu!

Waziri na mamlaka husika tunaomba kilio chetu wananchi kisikilizwe na kusaidiwa!hali ya rushwa NSSF inatishaaa!!
 
Wale wahudumu pale dirishani anakuambia waziwazi umpatie pesa kidogo ili mambo yaende haraka [emoji27]!ukisema huna hela anakupa namba ya simu umtumie kwenye namba hiyo!hawajali jinsia!waliofanikiwa kupata mafao pale wana sema ukitaka kupata hela zako basi unagawana nao hela ndefu!kuna kijana wangu anafatilia million moja na nusu pale NSSF anaambiwa atoe Lakimoja 100,000/afanyiwe utaratibu!

Kila siku akifika pale na wenziwe wanaambiwa mtandao hamna!wiki ya 2 sasa anarudishwa bila sababu!

Waziri na mamlaka husika tunaomba kilio chetu wananchi kisikilizwe na kusaidiwa!hali ya rushwa NSSF inatishaaa!!
Weka ushahi we dada
 
Yawezekana ni ukweli.

Nilifuatilia hela yangu ambayo ilitolewa kwenye lumsum payment yangu kwa kuwa mwajiri alichelewesha marejesho hivyo miezi zaidi ya 20 ikatolewa kwenye hela yangu.

Nilifuatilia ofisi ya kibaha nikaambiwa niende ilala .

Nilienda ilala hakuna kilichofanyika hadi leo, naona vile sikuwapa hela na ukweli sina hizo hela.

Hii mifuko ina urasimu mkubwa.
 
sijui tufanye nini jamani!hali inatishaaa
 
Jamani tunaomba msaada kwa mamlaka husika juu ya Uvundo huu uliokithiri Kwenye mfuko wa NSSF!Hali ni mbaya saana. Rushwa imekithiri mpaka imekuwa ndio sheria ya pale.

Ukienda kudai stahiki zako pale NSSF hakyamungu wale wafanyakazi pale kuanzia reception mpaka madirishani kote wanaomba rushwa waziwazi na ukisema huna utarudishwa mpaka utakata tamaa ya kufatilia stahiki zako!

Watu wanatoka mikoani ila kila siku wanazungushwa ili mradi utoe rushwa!!

Wale wahudumu pale dirishani anakuambia waziwazi umpatie pesa kidogo ili mambo yaende haraka [emoji27]!ukisema huna hela anakupa namba ya simu umtumie kwenye namba hiyo!hawajali jinsia!

Waliofanikiwa kupata mafao pale wana sema ukitaka kupata hela zako basi unagawana nao hela ndefu!kuna kijana wangu anafatilia million moja na nusu pale NSSF anaambiwa atoe Lakimoja 100,000/afanyiwe utaratibu!

Kila siku akifika pale na wenziwe wanaambiwa mtandao hamna!wiki ya 2 sasa anarudishwa bila sababu!

Waziri na mamlaka husika tunaomba kilio chetu wananchi kisikilizwe na kusaidiwa!hali ya rushwa NSSF inatishaaa!!
Mama anafungua nchi toeni hela tu 😅
 
Yupo jamaa yangu mmoja anafuatilia mafao yake huu ni mwaka wa 3 pale NSSSF Arusha. Juzi amenambia kuwa jamaa wa pale wamemwambia alubali ku-surrender 10% afanyiwe fasta apate mzigo wake!
TAKUKURU Arusha oneni haya, wanyonge wanataabika mno!!!

aisee!hali ni mbaya saana
 
Back
Top Bottom