rushwa mipakani na uonevu

rushwa mipakani na uonevu

materu74

Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
10
Reaction score
0
mimi jamani nashindwa kuelewa jinsi hii nchi inavyoendeshwa! Kwa mfano nataka kujua ni sheria gani hutumika kumkamata mtu mathalani amenunua sukari arusha mjini na soko lake liko namanga ambayo ni tanzania.yaani maaskari wamefanya mradi wa kujipatia pesa isivyo halali.wanunua magari ya starehe wote kupitia rushwa ya kuzuia mahindi na sukari
 
Back
Top Bottom