rushwa mipakani na uonevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

rushwa mipakani na uonevu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by materu74, Nov 16, 2011.

 1. m

  materu74 Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi jamani nashindwa kuelewa jinsi hii nchi inavyoendeshwa! Kwa mfano nataka kujua ni sheria gani hutumika kumkamata mtu mathalani amenunua sukari arusha mjini na soko lake liko namanga ambayo ni tanzania.yaani maaskari wamefanya mradi wa kujipatia pesa isivyo halali.wanunua magari ya starehe wote kupitia rushwa ya kuzuia mahindi na sukari
   
Loading...