bilioni 330 ukitoa 3000 = ngapi?
Wakulaumiwa ni PCCB wanashindwaje kutega mitego wakati kila siku wananchi wanalalamika? Nenda hospitali ya rufaa Morogoro huduma za upasuaji ona watu wanavyotoa rushwa wakati PCCB wapo na wanawezeshwa kwa kila hitaji lakini mambo yanazidi kuwa mabaya kila kuchapo, kusema ukweli hivi sasa ni kama kila mtu anakula pale alipo na serikali ni kama haipo kabisaa!!
Nikiwa kwenye daladala iendayo Dege ghafla tunasimamishwa na trafiki hapa maeneo ya mikadi cha ajabu dereva akashuka ili amfuate trafiki.
Nikashangaa kumuona konda anatoa 3000 za kumpa trafiki sasa nnachojiuliza hivi rushwa imeruhusiwa nchini?
Nikiwa kwenye daladala iendayo Dege ghafla tunasimamishwa na trafiki hapa maeneo ya mikadi cha ajabu dereva akashuka ili amfuate trafiki.
Nikashangaa kumuona konda anatoa 3000 za kumpa trafiki sasa nnachojiuliza hivi rushwa imeruhusiwa nchini?
nani kakuambia hatujafika huko...rushwa ipo wazi wazi tu.....tena na wasisitiza hao trafiks na wengine wa ngazi ya chini wazidi kuchukua rushwa....si ndivyo hivyo mnavyotaka....Miaka mingi ya nyuma (labda 30 iliyopita au zaidi), Gozi langu lilikuwa linafanya kazi Yemen kwenye kampuni ya ki Canada iliyokuwa inafanya exploration ya mafuta huo.
Nakumbuka aliniiita niende kwa mwezi mmoja nikamfaariji, na nikapata visa ya kwenda huko ya mwezi mmoja lakini baada ya mwezi ikabidi niendelee kubaki huko na visa ni lazima iongezwe, basi tukaenda "immigration office" za huko ili kuongeza muda wa visa.
Tulivyofika mlangoni tukamkuta askari na kumuuliza ofisi ya "mudir" (manager), iko wapi? akatuchangamkia sana akaacha geti na kutuambia tumfate, tukaona hii ni huduma VIP kabisa, akatupekea mpaka kwa "mudir", akatufungulia mlango wa ofisi na "mudir"na yeye akaingia na sisi ofisini akatuambia huyu ndiyo "mudir", na kweli mudir ana nyota tatu mabegani, tukamueleza shida yetu, na "mudir" bila ajizi akatuongezea miezi mingine mitatu ya visa.
Yule askari aliyetuleta yupo hapo hapo na sisi, ile tumemaliza akatuuliza "khalas?" yaani mmemaliza? tukamjibu "naam khalas" akasema "bakhshish" mbele ya boss wake, sisi tukashangaa anaomba bahashishi mbele ya "mudir"? kumtazama "mudir", anatwambia "just give him something, its OK here".
Huko bado hatujafikia Tanzania.
Tanzania kikwete kahalalisha rushwa kuanzia ikulu hadi ofisi ya kata.
nani kakuambia hatujafika huko...rushwa ipo wazi wazi tu.....tena na wasisitiza hao trafiks na wengine wa ngazi ya chini wazidi kuchukua rushwa....si ndivyo hivyo mnavyotaka....