Rushwa live bila chenga

Rushwa live bila chenga

Wakulaumiwa ni PCCB wanashindwaje kutega mitego wakati kila siku wananchi wanalalamika? Nenda hospitali ya rufaa Morogoro huduma za upasuaji ona watu wanavyotoa rushwa wakati PCCB wapo na wanawezeshwa kwa kila hitaji lakini mambo yanazidi kuwa mabaya kila kuchapo, kusema ukweli hivi sasa ni kama kila mtu anakula pale alipo na serikali ni kama haipo kabisaa!!
 
Hao daladala walilalamika kua ni rushwa?
Mkipigwa cheti mnalalamika, elfu 3 mnalalamika.
haya semeni mnatakaje?
 
Wakulaumiwa ni PCCB wanashindwaje kutega mitego wakati kila siku wananchi wanalalamika? Nenda hospitali ya rufaa Morogoro huduma za upasuaji ona watu wanavyotoa rushwa wakati PCCB wapo na wanawezeshwa kwa kila hitaji lakini mambo yanazidi kuwa mabaya kila kuchapo, kusema ukweli hivi sasa ni kama kila mtu anakula pale alipo na serikali ni kama haipo kabisaa!!

Waanze Na Escrow Hao Wengine Wa 3000 Wanaonewa
 
Nikiwa kwenye daladala iendayo Dege ghafla tunasimamishwa na trafiki hapa maeneo ya mikadi cha ajabu dereva akashuka ili amfuate trafiki.

Nikashangaa kumuona konda anatoa 3000 za kumpa trafiki sasa nnachojiuliza hivi rushwa imeruhusiwa nchini?

Dogo ile wind screen ina kreki faini yake ths 30, 000. Nengemtoza driver abiria mngelalamika eti ehe??
 
Umbeya tu waacheni una uhakika gani ni rushwa kwa sheria gani unasema ni rushwa hao ni ndugu wamekutana wamesaidiana
 
Unafika traffic anakuambia kaka jua Kali sana, sasa ww unataka umpe kitambaa chakufuta jasho? ni vijisenti braza....mm nazamaga kwenye escrow yangu na kuendelea na safari....tena wakati mwingine anaogopa kupokea anakwambia peleka pale kwenye Kibanda uweke chini ya daftari....sasa shida nn , gari yangu, hela yangu nani ananikataza kutoa in 'good faith'???
 
Nikiwa kwenye daladala iendayo Dege ghafla tunasimamishwa na trafiki hapa maeneo ya mikadi cha ajabu dereva akashuka ili amfuate trafiki.

Nikashangaa kumuona konda anatoa 3000 za kumpa trafiki sasa nnachojiuliza hivi rushwa imeruhusiwa nchini?

hiyo ni kawaida..
 
Miaka mingi ya nyuma (labda 30 iliyopita au zaidi), Gozi langu lilikuwa linafanya kazi Yemen kwenye kampuni ya ki Canada iliyokuwa inafanya exploration ya mafuta huo.

Nakumbuka aliniiita niende kwa mwezi mmoja nikamfaariji, na nikapata visa ya kwenda huko ya mwezi mmoja lakini baada ya mwezi ikabidi niendelee kubaki huko na visa ni lazima iongezwe, basi tukaenda "immigration office" za huko ili kuongeza muda wa visa.

Tulivyofika mlangoni tukamkuta askari na kumuuliza ofisi ya "mudir" (manager), iko wapi? akatuchangamkia sana akaacha geti na kutuambia tumfate, tukaona hii ni huduma VIP kabisa, akatupekea mpaka kwa "mudir", akatufungulia mlango wa ofisi na "mudir"na yeye akaingia na sisi ofisini akatuambia huyu ndiyo "mudir", na kweli mudir ana nyota tatu mabegani, tukamueleza shida yetu, na "mudir" bila ajizi akatuongezea miezi mingine mitatu ya visa.

Yule askari aliyetuleta yupo hapo hapo na sisi, ile tumemaliza akatuuliza "khalas?" yaani mmemaliza? tukamjibu "naam khalas" akasema "bakhshish" mbele ya boss wake, sisi tukashangaa anaomba bahashishi mbele ya "mudir"? kumtazama "mudir", anatwambia "just give him something, its OK here".

Huko bado hatujafikia Tanzania.
 
A kumbe uliniona we pga kmya mishahara yenyew kiduchu 2nalala macho kodo umeshawah ckia c 2megoma
 
tena trafic mzidi kuchukua rushwa tuuuu mzidi na kuzidi
safi sana...
 
Miaka mingi ya nyuma (labda 30 iliyopita au zaidi), Gozi langu lilikuwa linafanya kazi Yemen kwenye kampuni ya ki Canada iliyokuwa inafanya exploration ya mafuta huo.

Nakumbuka aliniiita niende kwa mwezi mmoja nikamfaariji, na nikapata visa ya kwenda huko ya mwezi mmoja lakini baada ya mwezi ikabidi niendelee kubaki huko na visa ni lazima iongezwe, basi tukaenda "immigration office" za huko ili kuongeza muda wa visa.

Tulivyofika mlangoni tukamkuta askari na kumuuliza ofisi ya "mudir" (manager), iko wapi? akatuchangamkia sana akaacha geti na kutuambia tumfate, tukaona hii ni huduma VIP kabisa, akatupekea mpaka kwa "mudir", akatufungulia mlango wa ofisi na "mudir"na yeye akaingia na sisi ofisini akatuambia huyu ndiyo "mudir", na kweli mudir ana nyota tatu mabegani, tukamueleza shida yetu, na "mudir" bila ajizi akatuongezea miezi mingine mitatu ya visa.

Yule askari aliyetuleta yupo hapo hapo na sisi, ile tumemaliza akatuuliza "khalas?" yaani mmemaliza? tukamjibu "naam khalas" akasema "bakhshish" mbele ya boss wake, sisi tukashangaa anaomba bahashishi mbele ya "mudir"? kumtazama "mudir", anatwambia "just give him something, its OK here".

Huko bado hatujafikia Tanzania.
nani kakuambia hatujafika huko...rushwa ipo wazi wazi tu.....tena na wasisitiza hao trafiks na wengine wa ngazi ya chini wazidi kuchukua rushwa....si ndivyo hivyo mnavyotaka....
 
Kumbuka kuwa mtoa na mpokea rushwa wote wana makosa.
 
Sasa mimi mwalimu rushwa yangu ntakula rushwa ipi jamani ili twende sawa nchi hii
 
Back
Top Bottom