Rushwa kushinikiza Bandari ya Bagamoyo: Nani anatoa Pesa?

Vitu ambavyo ni roho ya Taifa vinapaswa viendelee kumilikiwa na Serikali. Serikali inaweza kuuza hisa chache tu kwenye vitu hivyo ili kuchota uzoefu wa Private sector na kugawa keki ya Taifa lakini vitu kama.

1. Miundo mbinu ya Maji
2. Umeme
3. Reli
4. Bandari
5. Benki kuu

Hivi inapaswa viendelee kumilikiwa na serikali kwa asilimia kubwa za hisa.

Hata hivyo kuhusu bandari ya Bagamoyo, Sote tunakubaliana ni bandari muhimu sana ila tunaweza kutofautiana namna ya Kuifund.

Nikija kwenye clip ya Mama Samia, bila shaka anazungumzia upanuzi wa bandari ya Dar es salaam, Maana hawezi kuzungumza upanuzi wa bandari ambayo haijaexist bado. Mama anataka badala ya kupanua kipande kimoja kimoja cha Bandari ya Dar, Basi tutafute fedha tuipanue kwa mpigo.

Tatizo ninaloliona kuna watu wamejipa kazi ya kufanya misinformation juu ya kazi za mama, wengine ni wafuasi wa Hayati Magufuli wanaodhani Legacy ya Magufuli itaonekana vizuri mama akifeli!
 
TICTS wanaindesha Bandari huko kwingine pia wanaweza kupewa wengine.
 
Kwa mizigo ipi? Acheni mambo ya hovyo. Mnasahau bandari za beila Na Mombasa. Unadhani tutawakosha ulajii? Tukipanua nao watapanua
 
Tumewapa Airport hivyo
Watukopeshe hizo Hela zao tuwalipe Kwa faida watakayoipata. Patachimbika Magufuli ametuambia tunaibiwa. Air Tanzania Private Sector ikawa Chali, Reli Chali, Tanesco Chali, Dawasa Chali, Magufuli kafufua leo mnakuja Na Bandari. Tunasema Bandari ndio Jicho, watapitisha Siraha zitatumaliza kabisa.
Hakuna bandari hapa.
 
Mam
Hakuna PP bandarini la sivyo CCM inaondoka Madarakani.
 
Kuna watu ni wajinga Sana.
Private sector sio shida, Ila si kila sehemu unaweza kuiachia private sector iendeshe. Nu sawa na leo useme TRA nayo tuwaachie private sector, Benki kuu na jeshi nayo tuwaachie private sector
Ndo maana yake au hizotea na Benki Kuu zisiwepo hamna wanachofanya ni maigizo tu
 
Nyie ndio wale mnaosema hamkopi mnakomaa na maisha mpaka unazeeka hujakamilisha nyumba uliyoianza. Dunia imebadilika lazima twende na kasi

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
TANZANIA TUTAKAPOFANIKIWA KUWA HATA NA BANDARI KUMI,NI JAMBO ZURI SHIDA IKO TU KWENYE USIRI USIRI,ETI YAPO AMBAYO HAYATAKIWI KUJULIKANA KWA MASLAHI YA KIBIASHARA I USE CALL IT A #SHITS NUMBER ONE,
Rais wetu mama samia please ikikupendeza #kata mzizi wa fitina #tuwekee wazi tena kwenye gazette la serekali..
 
Hizi fix zako umezitoa wapi?
Ndio shida yenu MATAGA, unakuwa hujui kitu , watu wenye uelewa wa jambo wana kuelewesha, hutaki kwakuwa umeshatafuna tango poli!!iko hivi hiyo bandari itajengwa kama hutaki kurishuhudia hilo likitokea mfuate Mwendazake!!si afadhari hata hii ya bagamoyo, kuna watu walipewa hata maelezo ya awali wa nini kinaenda kufanyika, kuna mradi wowote wa kwake ambao kuna mtu anajua, tangu tenda, hadi ujenzi wake na manufaa yake?
 
Miaka hii 4 ya sasa mama ashughuclike na miradi mikubwa tuliyonayo ikamilike,Mungu akijalia mitano ijayo aanzishe hiyo mipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…