Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,439
- 50,957
Vitu ambavyo ni roho ya Taifa vinapaswa viendelee kumilikiwa na Serikali. Serikali inaweza kuuza hisa chache tu kwenye vitu hivyo ili kuchota uzoefu wa Private sector na kugawa keki ya Taifa lakini vitu kama.
1. Miundo mbinu ya Maji
2. Umeme
3. Reli
4. Bandari
5. Benki kuu
Hivi inapaswa viendelee kumilikiwa na serikali kwa asilimia kubwa za hisa.
Hata hivyo kuhusu bandari ya Bagamoyo, Sote tunakubaliana ni bandari muhimu sana ila tunaweza kutofautiana namna ya Kuifund.
Nikija kwenye clip ya Mama Samia, bila shaka anazungumzia upanuzi wa bandari ya Dar es salaam, Maana hawezi kuzungumza upanuzi wa bandari ambayo haijaexist bado. Mama anataka badala ya kupanua kipande kimoja kimoja cha Bandari ya Dar, Basi tutafute fedha tuipanue kwa mpigo.
Tatizo ninaloliona kuna watu wamejipa kazi ya kufanya misinformation juu ya kazi za mama, wengine ni wafuasi wa Hayati Magufuli wanaodhani Legacy ya Magufuli itaonekana vizuri mama akifeli!