Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mama hajashinikiza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo. Kwanza clip unayo isema alikuwa anaongelea bandari ya Dar es Salaam. Hoja yake ilikuwa kwa nini tunaipanua kwa vipande vipande? Yeye anaona ni bora aipanue yote hata kama itabidi atumie fedha za wawekezaji.Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo.
1.Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2.Je Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.
3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.
4.Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?
5.Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Kifupi roho ya uchiy wa nchi ibinafishwe?, hopeless kabisa!Mama hajashinikiza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo. Kwanza clip unayo isema alikuwa anaongelea bandari ya Dar es Salaam. Hoja yake ilikuwa kwa nini tunaipanua kwa vipande vipande? Yeye anaona ni bora aipanue yote hata kama itabidi atumie fedha za wawekezaji.
Msingi wa hoja ya Rais uko kwenye kitu kinanacho itwa opportunity cost. Hoja ya mama iko hivi, kwa mfano sasa tunavyo jenga vipande vipande itatuchukua miaka 30 kumaliza. Je katika kipindi hiki cha miaka 30 tutakuwa tumepoteza kiasi gani. Je kwa mfano tukichukua mwekezaji akaweka hela sasa hivi...bandari ikapanuliwa yote..je tutakuwa tumepata faida kiasi gani au hasara kiasi gani baada ya miaka 30. Kupata jibu ni mpaka ufanye analysis nanuwe na data.
Tatizo kubwa ambalo naliona vichwani mwa watu wengi ni kuto elewa uchumi wa nchi unavyo endeshwa. Na pia mazoea ya kwamba bandari, reli ni lazima zijengwe na serikali ndo nchi itapata faida.
Nawahakikishia..tunaweza tuka binafisisha reli zote, barabara zote, bandari zote n.k na nchi ikawa na mapato ya kutosha zaidi na ika imarika zaidi.
Kazi ya serikali siyo ku run hizo tediuos processes...kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kuzitumia katika huduma za jamii.
Unaona ajabu ni kwa sababu ya mazoea. Nani amekwambia ikiwa private ownes haitaleta mapato? Haitajenga uchumi? May be inaweza kuwa faida zaidi kuliko sasa hivi. US karibia ports zote zinaendeshwa na makapuni binafsi tena mengine kutoka china na singapore.Kifupi roho ya uchiy wa nchi ibinafishwe?, hopeless kabisa!
Mama hajashinikiza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo. Kwanza clip unayo isema alikuwa anaongelea bandari ya Dar es Salaam. Hoja yake ilikuwa kwa nini tunaipanua kwa vipande vipande? Yeye anaona ni bora aipanue yote hata kama itabidi atumie fedha za wawekezaji.
Msingi wa hoja ya Rais uko kwenye kitu kinanacho itwa opportunity cost. Hoja ya mama iko hivi, kwa mfano sasa tunavyo jenga vipande vipande itatuchukua miaka 30 kumaliza. Je katika kipindi hiki cha miaka 30 tutakuwa tumepoteza kiasi gani. Je kwa mfano tukichukua mwekezaji akaweka hela sasa hivi...bandari ikapanuliwa yote..je tutakuwa tumepata faida kiasi gani au hasara kiasi gani baada ya miaka 30. Kupata jibu ni mpaka ufanye analysis nanuwe na data.
Tatizo kubwa ambalo naliona vichwani mwa watu wengi ni kuto elewa uchumi wa nchi unavyo endeshwa. Na pia mazoea ya kwamba bandari, reli ni lazima zijengwe na serikali ndo nchi itapata faida.
Nawahakikishia..tunaweza tuka binafisisha reli zote, barabara zote, bandari zote n.k na nchi ikawa na mapato ya kutosha zaidi na ika imarika zaidi.
Kazi ya serikali siyo ku run hizo tediuos processes...kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kuzitumia katika huduma za jamii.
Wakenya walijaribu huu mpango wako kwa SGR yao sasa wanajuta, wachina wanabeba kila kitu, hii dezo ya kumuachia mtu afanye kwa pesa yake ili baadae achukue mapato kwangu naona ni ujinga.Mama hajashinikiza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo. Kwanza clip unayo isema alikuwa anaongelea bandari ya Dar es Salaam. Hoja yake ilikuwa kwa nini tunaipanua kwa vipande vipande? Yeye anaona ni bora aipanue yote hata kama itabidi atumie fedha za wawekezaji.
Msingi wa hoja ya Rais uko kwenye kitu kinanacho itwa opportunity cost. Hoja ya mama iko hivi, kwa mfano sasa tunavyo jenga vipande vipande itatuchukua miaka 30 kumaliza. Je katika kipindi hiki cha miaka 30 tutakuwa tumepoteza kiasi gani. Je kwa mfano tukichukua mwekezaji akaweka hela sasa hivi...bandari ikapanuliwa yote..je tutakuwa tumepata faida kiasi gani au hasara kiasi gani baada ya miaka 30. Kupata jibu ni mpaka ufanye analysis nanuwe na data.
Tatizo kubwa ambalo naliona vichwani mwa watu wengi ni kuto elewa uchumi wa nchi unavyo endeshwa. Na pia mazoea ya kwamba bandari, reli ni lazima zijengwe na serikali ndo nchi itapata faida.
Nawahakikishia..tunaweza tuka binafisisha reli zote, barabara zote, bandari zote n.k na nchi ikawa na mapato ya kutosha zaidi na ika imarika zaidi.
Kazi ya serikali siyo ku run hizo tediuos processes...kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kuzitumia katika huduma za jamii.
Je hakuna sehemu ambako mpango huu umefanya vizuri? Nadhani mfumo si tatizo, tatizo lipo kwenye terms. Mikata ya PPP yaweza kuwa ya aina tofauti..Build Operate Transfer, Build and Own etc.Wakenya walijaribu huu mpango wako kwa SGR yao sasa wanajuta, wachina wanabeba kila kitu, hii dezo ya kumuachia mtu afanye kwa pesa yake ili baadae achukue mapato kwangu naona ni ujinga.
Mnasumbuliwa kukosa exposure!Wakenya walijaribu huu mpango wako kwa SGR yao sasa wanajuta, wachina wanabeba kila kitu, hii dezo ya kumuachia mtu afanye kwa pesa yake ili baadae achukue mapato kwangu naona ni ujinga.
Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo.
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.
3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.
4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?
5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Kifupi ni hivi pingapinga wa enzo hizi hameni kama hamridhishwi na yanayoendeleaKifupi roho ya uchiy wa nchi ibinafishwe?, hopeless kabisa!
Maswali mazuri sana. Hii bandani ina kila aina ya ''uchafu''. Vizazi vijavyo vitashutumu sana. Tunajua zimemwagwa ahadi za posho nono kwa wanasiasa iwapo mradi utapita. BTW tunaomba tuone clip kama unayo.Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo.
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.
3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.
4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?
5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Tatizo liko private sekta kumiliki sehemu nyeti kama bandari ya nchi. Hizo sheria na taratibu unazosema ni changa la macho kwa sababu zinatumika ''nguvu'' kubwa kuwahonga watu ili mradi upite. Majanga.Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!
Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
Kuna watu ni wajinga Sana.Tatizo liko private sekta kumiliki sehemu nyeti kama bandari ya nchi. Hizo sheria na taratibu unazosema ni changa la macho kwa sababu zinatumika ''nguvu'' kubwa kuwahonga watu ili mradi upite. Majanga.
Tatizo sio private sector, tatizo ni aina ya sehemu ya kuwekeza. Kuna sehemu ni nyeti. Mfano; Bandari, TRA, Bank kuu sehemu Kama hizo huwezi kuachia private sector.Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!
Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
Huna exposure brotherTatizo sio private sector, tatizo ni aina ya sehemu ya kuwekeza. Kuna sehemu ni nyeti. Mfano; Bandari, TRA, Bank kuu sehemu Kama hizo huwezi kuachia private sector.
Pia kwa nchi zetu za kiafrica bado Sana kuweza kupataa mapato vizuri sehemu Kama hizo hata ukitumia private sectors, mfano Reli tuliwapa hao private sector lakini najua unajua kilichotokea
tuacheni kwanza tufe ndo muuze nchi yetuHuu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!
Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
SUKUMA-GANG na jubu ndugu wa Hai wanajua fedha zilikuwa ziingie kwenye akaunti zao mapema sana, mama hajatoa tamkoKuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.
3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.
4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?
5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Mimi Sina exposure?Huna exposure brother