Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.
3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.
4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?
5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu