complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 379
- 1,208
Habarini za huku.
Leo nimeona niandike jinsi gani watumishi wa mamlaka ya mapato TRA kitengo cha ukusanyaji mapato wa uwanja wa ndege airport jinsi wanavotumia vyeo vyao vibaya kujipatia hela kwa njia kandamizi na kwa kuomba rushwa nje nje.
Wafanyabiashara hupendelea kupanda Ethiopian, Emirates, KQ pamoja na Qatar kutokana na bei ya Ticket kwenda kwenye miji ya biashara China, Thailand, Dubai na Turkey kua chini pamoja na gharama za mizigo hua tunaiita MCO kua nafuu kulinganisha na ndege kama KLM na Turkish airways.
Kwa kwaida ndege wanakupatia Kilo 21 x 2 pamoja na kilo 7 za mizigo kwa ticket moja ambapo kwa mizigo hii inaelezeka mara nyingi ni vitu binafsi pamoja na zawadi.
Kwa wafanyabishara hununua KG 28 - 32 ili kuweza kua na kilo nyingi zaidi kwa wale wanonunua MCO watakua wamenielewa.
Shida inaanza ukitua airport yetu hawa jamaa wa TRA wakuone na mizigo mingi ambapo hawajali maelezo yako ni ya biashara, ya zawadi, ya kwako binafsi au nini.
Box moja la nguo la KG32 wataanza kusema gharama ya kodi ni 150,000 bila kujua thamani ya hizo nguo au viatu vilivomo huko ndani.
Ukiwa na simu zaidi ya mbili ndio shida zaidi kwani simu moja hutaka ulipie kodi ya shilingi 100,000 mpaka 400,000 na kutumia ubabe na lugha isioleweka pia kutokuelezea hizo gharama za kodi wao wanatumia kigezo gani kujua thamani ya kodi inayopaswa kulipwa
Perfume zaidi ya mbili utaambiwa ni za biashara unatakiwa ulipie kichupa kimoja cha millimeter 120 shilingi 30,000.
Kwa wale wabeba vifaa vya simu kama vioo na protector kwq box la KG 21 huchajiwa 250,000.
Sasa kutokana na hizi bei ambazo sio elekezi hushawishika kuanza maongezi ya jinsi gani unaweza kupunguziwa pesa ya kodi.
Kwa mwenye box la nguo ambalo kodi aliambiwa 150,000 (majina yao nitahifadhi) utaambiwa ulipie 30,000 dirishani 50,000 weka kwenye ile dro yani kodi ya kwenye 150,000 serikali inapata 30,000 na 50,000 inaingia mifukoni mwao.
Kwenye simu utaambiwa kalipie dirishani 20,000 na 30,000 leta huku hapo kwenye bargain wataangalia umesema una kiasi gani robo iende serikalini na robo tatu wanachukua wao
Sio mara ya kwanza au ya tano nimekutana na hivi vitu inauma zaidi pale mzungu anapopita free na mabegi zaidi ya manne bila kupigwa search wala kuulizwa hivi vite ni vya nini?
Nimefatilia mpaka Mapato house kujua bei elekezi za mizigo kutoka nje kwa kupitia viwanja vya ndege sijapata majibu ya kuridhisha
Naomba kujua hizi kodi ziliekwa kwaajili ya kukomoana pamoja na hizi rushwa tunazotoa kutokana na kutokujia bei elekezi wahusika wanajua kua serikali inapoteza karibia nusu ya mapato?