Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
J.M a k a m b a
hata mimi nimemuona prof kang`ara kweli leo speed yake inatisha!!
Unategemea nn ukiongozwa na mr Dhaifu
January Makamba si ndo alikuwa anam-finance dada yake kujenga lile hekalu tulilooneshwa picha zake hapa JF?
Penye zuri lazima tusifie. Siyo vema kutabiri mabaya.Hata Mwakyembe aling'ara kweli katika sakata la Richmond...lakini mwisho wa siku nani alivaa Pingu na kufungwa jela kwa manufaa ya Taifa?
So hata huyo Profesa hana jipya ktk series inayoendelea nchini Tanzania.
Utanikumbuka.
nimekuoana shem ukinichungulia tu. aisee miye huwa napenda sana siasa ila huwa sipend za kwenye majukwaa bali nashauri wanasiasa nikiwa nje tu. ni mchezo mchafu kweli.
lakini kweli umeskia mama Lwakatare anaiba umeme wa mamilion jamani is it fair???? niliwah kuwa mwl ktk shule yake wakati ndo zinaanza enzi hizo kule tbt bima sisemi uongo na hata leo anajua aliwah kuwapigisha wanafunzi picha wakiwa na sura za huzuni mabwenini kama vile ni yatima wamekusanywa mahali ili hali ni watoto wa wazazi wenye pesa zao and they were paying about a million by then kama fees. akazituma ulaya haikupita miezi akajenga mbezi beach na kenton.
sasa sijui wafadili wake wamempiga chini kaamua kuiibia tanesco umeme hadi mamilion??
Hii kenton aliwatapeli PPF, lile eneo alikopa PPF kwa jumla ya shs. 315milioni ikiwa ni cost plus interest, na linalipwa kwa miaka 15 toka 2004. Kwa mkataba huu mbovu, huyu mama hulipa Tshs. 1,750,000. Ataendelea kulipa hivyo hadi 2018.
1.Hivi kwa eneo lile pale lenye ukubwa wa karibu eka 6 na palikuwa na majengo ya ghorofa 1 manne, kuuzwa na PPF kwa bei hii si UFISADI?
2. Hivi kwa eneo lote la shule ya Kentoni kulipia Tshs 1,750,000 kwa mwezi, wanachama wa PPF walitendewa haki? Na je kama ni uwekezaji ulikidhi VALUE FOR MONEY AND PRUDENCE INVESTMENT?
atabaki dk slaa.Hadi kufikia 2015 viongozi wote watakuwa wametuhumiwa kwa rushwa nani atafaa kuwa kiongozi 2015 tafakari chukua hatua
Kuwa makini unamwongelea mafia mkuu wa kike!.mkuu yaani kwa huyu mama anaitapeli NSSF na PPF kimacho macho na ushahidi upo sijui kwanini hawajibishwi manake hata kule BIMA majengo yale aliyanunua kwa mkopo so far ana hidden agenda nyingi sana huwa anasema hawa watoto ni yatima kumbe si kweli ni mwongo sana ila nikae kimya tu nisiseme niyajuayo manake nilishafanya kazi kwake na niliacha ndani ya masaa 24 akaniletea hadi polis nimemwibia chaki kumbe ni baada ya kutokea tukio ambalo lingegharimu maisha ya mwanafunzi na akaona ni jambo la kawaida tu kisa msomali analipa ada.
hebu jiulize kweli wanafunzi wanapoekeana sumu kwenye vyakula kama mmiliki wa shule halafu ukaona kisa huyu msomali ndo mlipa hela nzuri ukaona mswahili ata akifa ni sawa tu???? sitokusahau wewe mama.
Duh! hii imekaa kisasa zaidi!.uzuri wa kipochi manyoya kipo tu, na kama kinaweza kulainisha njia why not....
cartura for god sake nitake radhi. Hivi nitakitoa kwa watu wangapi, mara ngapi ili nipate nini?uzuri wa kipochi manyoya kipo tu, na kama kinaweza kulainisha njia why not....