Rushia picha/ neno zuri kwao kwetu matusi

Mkuu hata maneno ya kiswahili kwenye lugha nyingine ni shida, tuliwahi kufika Harare na demu mmoja wa kibongo anaitwa Tunda, ikabidi tumbadilishe jina tu, maana kila tukitaja hilo jina Washona walikuwa wanacheka sana. Kwasababu Tunda kwao ni mkojo.
Hahahah lugha gongana mkuu.
 
2b3162939ad4dbb231cb0d0ba7a2a771.jpg
 
Mkuu nmecheka kama mjinga.
Afu wanapenda kucheza mpira asubui...
walishanivunjiaga mkeka wangu ,nilibet In play kabisa.....
hawa Ku.mamoto sitawasahau

Niliizarau kutokana na hilo jina lake aisee. Kumbe ilikuwa ni kummoto kweli.
 
pia kuna nyimbo 1 ya zaman ya Koffi Olomide jina siikumbuki vizuri Ila ni ya zamani sana na ilikua ni moja ya hit song zake kipindi kile, nakumbuka kuna sehem waliku wanaimba "kum* inauma, kum* inauma..." the way walivyokua waki sound masikion mwa watu
 
Jina la ripota wa ITV Nairobi Kenya-(Kigoma halitamkiki)
 
Back
Top Bottom