Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 609
Kuna gari inaitwa Toyota ZAFIRA
Ni wachagaWapare wana jina Mboro.
hhahaa ndio senegal hiyo...ila kule japan mmmhNoma, unaaga home unasema unaenda jiji la Mboro!
kumasi, ni mji.Kuna sehemu ipo Ghana kama sikosei Inaitwa Kakuma
wajita, ingawa wasukuma wanasema noko, lakini maana ni hiyo hiyo tu kwamba ni mama, mfano nina, nyoko, maana yake ni mama sio tusiTena wa wangoni na wamanda.....
Kumamoto prefectureKumamoto ni mji mkuu wa kisiwa cha Kyushu, nchini Japan. Hapo ndipo ilipo bandari yao kubwa kabisa, Port Kumamoto.
wachaga wa old moshiWapare wana jina Mboro.
kitamathali, they call themselves MuroNi wachaga
Vile vile kuna chuo kikuu Japan kinaitwa jina hiloKuna Team ya mpira Japan inaitwa Ku.mamoto
Na kenya kunasehemu inaitwa jina hiloKuna sehemu ipo Ghana kama sikosei Inaitwa Kakuma
yahsii mchezo aisee