Rushia picha/ neno zuri kwao kwetu matusi

IMG_20171016_163059.jpg


huyu mjapani sijui kwanini alikua wa mwisho
 
Duuh wangalijua tunachomaanisha wabongo.......


Mkuu hata maneno ya kiswahili kwenye lugha nyingine ni shida, tuliwahi kufika Harare na demu mmoja wa kibongo anaitwa Tunda, ikabidi tumbadilishe jina tu, maana kila tukitaja hilo jina Washona walikuwa wanacheka sana. Kwasababu Tunda kwao ni mkojo.
 
Back
Top Bottom