Rusahunga Benako kama Ulaya!

Hakuna wa kukufokea ni katika kukumbushana tu.

Majimbo yote ya kimkakati yamerudi CCM ni kwamba kiongozi mkuu ameeleweka.

Kule Hai walimaliza kila kitu saa tisa usiku, hawakusubiri jogoo awike wakawa wameshamchinja macho manne.
Uzuri ni kwamba baada ya kumchinja yule jamaa wa kule hai sasa mfuko wa Cement utashuka na kua sh. 5,000,ajira zitatolewa kwa wingi saana,wastaafu watalipwa pesa zao kwa wkt.

Napendekeza sasa mh. atawazwe kua mfalme wetu mpya,maana anapendwa saaaaana.Mitano teeeeeeeeeeeeena.
 
Wenyewe wanadhani wameshakwepa kuburuzwa mahamani kumbe wanachofanya ni kunenepesha idadi ya watuhumiwa.
Mwenye kinga ni mmoja tu wengine wote watachekiwa.
 
Mtaendelea kujifariji kwa huu ujinga wakati wenye akili wanaelewa Magu ana lengo gani kwa taifa hili.

Nchi inapaa kimaendeleo, watoto kama wewe hawawezi kukosekana kwenye jamii.
 
Bei za bidhaa kupanda au kushuka hutegemea factors nyingi. Ni suala la muda tu.

Mheshimiwa 2025 anaondoka Dodoma na kwenda kuanza maisha ya ustaafu kwao Chato.

Hatuna usultani lakini hatuvumilii wanasiasa wasio na msaada kwa wapiga kura.
 
Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.
Msengerema katika ubora wako, we muhutu sijui mtutsi rudi kwenu hifadhi tuliyokupa inatosha
 
Mtaendelea kujifariji kwa huu ujinga wakati wenye akili wanaelewa Magu ana lengo gani kwa taifa hili.

Nchi inapaa kimaendeleo, watoto kama wewe hawawezi kukosekana kwenye jamii.

Yaonesha hujapenda kabisa wengine kuimba mapambio ya sifa.

Kwamba nyinyi mkielewa Magu ana lengo gani mnakuwa mna akili Ila wengine tukimwelewa inakuwa nongwa?

Tafadhali usitufokee kwani kwa hakika mjinga na mtoto utakuwa ni wewe. Na watu kama wewe hamuwezi kukosekana kwenye jamii.

Hiiii bagosha!
 
Mimi na wewe ni marehemu watarajiwa. Usipochapwa Shaba utakufa kwenye ajali au juu ya kitanda cha hospitali.

Bado haihalalishi kuuwa.

Kumbe mnauwa kwa sababu hata msipowauwa watakufa tu?

Kweli mna haki ya kuitisha maombezi!
 
Watu wapo bungeni na shughuli za uteuzi wa Waziri Mkuu zimeanza.
Wasiwasi wako nini, unataka kosa lifutike? Technolojia imehifadhi kumbukumbu zote mimi nitafutaje?
Sina uwezo wa kufuta ushahidi uliowekwa mtandaoni.
Tusubiri muda ukifika na tuombe uzima tuendelee kusogoa hapa jf.
 
Ni mpaka 2025 ndipo mjaribu tena vinginevyo hizi ni kelele za chura.
 
Wasiwasi wako nini, unataka kosa lifutike? Technolojia imehifadhi kumbukumbu zote mimi nitafutaje?
Sina uwezo wa kufuta ushahidi uliowekwa mtandaoni.
Tusubiri muda ukifika na tuombe uzima tuendelee kusogoa hapa jf.
Akili za fisi za kusubiri mkono uanguke huku akizidi kuzeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…