Tukisema chama chenu ni cha dini mnalia lia hapa!!
Iko hivi:Serikali iliweka mapingamizi matatu katika rufaa ya Lema,mahakama katika uamuzi wake mdogo (ruling) ilichokifanya leo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili,ni kuyatupilia mbali ,mapingamizi mawili(dismissal)na kulikubalia moja(uphold).Matokeo ya kulikubali pingamizi moja ni kwamba to some extent rufaa ya Lema ilikuwa na matatizo lakini yanayorekebishika(curable defects).Hivyo Mahakama kwa kuzingatia misingi ya haki imeamua kuiondoa rufaa ya Lema Mahakamani lakini ikatoa nafasi ya kuirudisha tena(The Court of Appeal has decided to struck out the appeal with leave to re-file).Kwa kuwa ruhusa ya kurudisha rufaa imetolew,mahakama ikaona ni vema zitolewe siku 14 tu ili makosa yaliyobainishwa yarekebishwe na rufaa irudishwe.Rufaa ikisharudishwa mahakamani ndani ya siku 14 itapangiwa tarehe nyingine kwa kuzingatia ratiba ya Mahakama ya rufaa.
======
Umefafania vizuri. Lakini sasa tueleze ina maana gani kwa ubunge wa Lema. Mahakama ilimvua, sasa mahakama ya rufaa kwa uamuzi huu, inamaanisha nini?
Who is Lema kwani?????? Kwanini habar yake ipewe mvuto. KUna mambo mengi sana ya kuandika na yenye uzito..siyo habari kama hii!!
unajua kwa nini waliamishia Dar?Hatimaye leo ndio leo kwa hukumu kwa aliyekua mbunge wa Arusha Mjini bwana Godbless Lema ni leo na ulinzi mkubwa kuimarishwa kwa wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)! kwa wale watakao kwenda mahakamani tunaomba mtupe Updates!
Souce: Gazeti la Majira!
Lema Godbless may God bless you! Win the case and let yo'afflictors be put to shame!
jamani wadau walioko mahakamani 2naomba mtujuze tafadhalini xna
ya kweli aya mkuu auJe wajua kuwa Jaji RWAKIBALIRA baada ya kuhukumu kesi ya Lema kule Arusha ajawahi kutoka kitandani?Yupo hoi bin taabani Nyumbani kwake...Kapelekwa India olaaaaa.
Majaji wanahitaji busara ya kawaida tu kwani kwa namna yoyote Arusha haiwezi kwenda CCM. Wasipomrudishia ubunge wake, wananchi wa Arusha watafanya hivyo, tena kwa kishindo.
ya kweli aya mkuu au
Huenda kilio cha Lissu kiko sahihi[/QUOTE
Kama hadi leo wewe ni miongoni mwa watu, ofcourse wachache, wasioelewa na kuona ukweli ktk hoja ya Tundu juu ya uteuzi wa majaji, tena kwa ushahidi mzito ambao hawajaweza kukanusha, basi kuna matatizo makubwa.
So nini kifanyike juu ya hao wateuli wa Rais? Katiba ya nchi inasema nini Rais anaposhindwa kuilinda katiba aliyoaapa kuilinda ?
Iko hivi:Serikali iliweka mapingamizi matatu katika rufaa ya Lema,mahakama katika uamuzi wake mdogo (ruling) ilichokifanya leo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili,ni kuyatupilia mbali ,mapingamizi mawili(dismissal)na kulikubalia moja(uphold).Matokeo ya kulikubali pingamizi moja ni kwamba to some extent rufaa ya Lema ilikuwa na matatizo lakini yanayorekebishika(curable defects).Hivyo Mahakama kwa kuzingatia misingi ya haki imeamua kuiondoa rufaa ya Lema Mahakamani lakini ikatoa nafasi ya kuirudisha tena(The Court of Appeal has decided to struck out the appeal with leave to re-file).Kwa kuwa ruhusa ya kurudisha rufaa imetolew,mahakama ikaona ni vema zitolewe siku 14 tu ili makosa yaliyobainishwa yarekebishwe na rufaa irudishwe.Rufaa ikisharudishwa mahakamani ndani ya siku 14 itapangiwa tarehe nyingine kwa kuzingatia ratiba ya Mahakama ya rufaa.
Jopo la Majaji likiwa tayari kuanza kazi
Leo ni leo kusuka ama kunyoa Court of Appeal, DAR kuhusu RULING ya pingamizi zilizotolewa na upande wa mjibu rufaa!
Updates..
Ruling tayari, mapingamizi 2 yametupwa, moja limekubaliwa, lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
Godbless Lema akiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Kuu jijini Dar leo. Wapenzi wa Chadema wakimlaki Mhe. Lema mara baada ya kuwasili katika viwanja vya mahakama leo. Jopo la Majaji likiwa tayari kuanza kazi. Kutoka kushoto, Henry Kileo, Nuru Ndosi na Mhe. Godbless Lema wakiwa mahakamani leo. Henry Kileo akiwa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Dar es Salaam.