Rukwa: Polisi Waua tena Mwananchi!

Rukwa: Polisi Waua tena Mwananchi!

this is terribly painful. jamani poleni wafiwa wote.

kwa sisi watanzania wengine kuna haja ya kuzidi kuomba Mungu atuhurumie sana na hawa jeshi la polisi kwa maana sasa wote tunaishi katika hali ya uoga na wasiwasi pindi tunapowaona maafande walioapa kutulinda na mali zetu.

Mungu ibariki Tanzania
 
mimi nadhani hili jeshi la polisi linatakiwa lisafishwe kabisa

Tena tuanze upya kabisaaaaaa hili lililopo limepoteza sifa. Siku hizi ukiona police wanapita mtaani kwako unaogopa sana. Yaani ukimuona police unatamani kukimbia .
 
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?

Ungesikiliza taarifa hiyo hakika usingeandika ujinga huu. Mke? wa marehemu anadai polisi wameingia wakamkuta marehemu, mmoja wa askari akamwambia mwenziwe "tunamchelewesha huyu" mara risasi zikalia. Halafu unaleta upuuzi hapa?
 
Safi kama askari akipita mtaani mnatoka nduki ndo sawa. Mmezidi kuwazoea
Sio kwa wema unaogopa wasije wakakudhuru. Yaani hatuwaoni kama walinzi wetu tena bali kama maadui zetu. Police yupo kwa ajili ya kulinda usalama wa raia na mali zake . Zamani ilikua ukiona police unajisikia uko salama na unapata amani sio siku hizi.
 
Sumu, wajua kuwa hao polisi wamegharamia sehemu ya mazishi yake...polisi wanagharamia misiba ya wahalifu tangu lini!!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini Sumbawanga kwa kutuhumiwa kwa wizi.

MYTAKE.
Chondechonde polisi mnawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi.
too difficult to judge kwa sababu mazingara halisi hatuyajui. inawezekana jamaa ni jambazi mzuri na tajiri, sasa huwezi kwenda kichwa kichwa, nao polisi wanaroho jamani. msiwafanye wao ni mawe ambayo risasi ikilenga inaparaza tu.
kuna likuria fulani hapa kitunda (jina COLIN, wanakitunda mtakuwa mnalifahau) lilikuwa tajiri kweli kweli ila pia lilikuwa jambazi la kutupwa. Jk alipoiungia askari wakadili naye, jamaa sasa hivi ni choka mbaya. kwa hiyo msitishiwe kuwa alikuwa tajiri..
 
Kwani si ilikuwa ni mazoezi ya kulenga shabaha live? acheni polisi wafanye kazi zao...
 
Ungesikiliza taarifa hiyo hakika usingeandika ujinga huu. Mke? wa marehemu anadai polisi wameingia wakamkuta marehemu, mmoja wa askari akamwambia mwenziwe "tunamchelewesha huyu" mara risasi zikalia. Halafu unaleta upuuzi hapa?

Wewe ulitegemea mke wake asemaje? Kama wewe huyo mtuhumiwa (marehemu) angekuwa mume wako ungesemaje? Tena kuna uwezekano mkubwa huyo marehemu na mke wake walikuwa wanashirikiana kwenye wizi. Upande wa pili wa polisi walioenda eneo la tukio wanasemaje? Kwasababu hapa umetupa maelezo ya upande mmoja tu!
 
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?

Ha! Jamaa pumbavu ee kwahiyo mshukiwa wa wizi huwa anapigwa risasi ha! Basi mahakama zifungwe
 
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?

Wale waliokwapua fedha za EPA mlienda kuwauwa majumbani kwao?
 
Siwezi kukulaumu kwasababu inawezekana mimba yako ilitungwa kwenye nyumba ya wageni.

dah NIMEONA UNANITAFUTIA BAN ILA KUMBUKA HIZO NYUMBA ZA WAGENI PIA NI NYUMBA MAALUM KWA WATU MAALUM KWAIO UKIJUA NILIZALIWA HUKO SI VIBAYA ILA SIWEZI KUBISHANA NA WEWE MASKINI WA FIKRA TAJIRI WA MAWAZO YA KUANZIA PUANI NA KUISHIA MDOMONI, MSEMO HUU NI WAKO

''THE DIFERENCE BETWEEN THE STUPIDITY AND GENIUS IS THAT GENIUS HAS ITS LIMITS''
 
taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?

huna akili wewe kuhalalisha upumbavu wako ulitumwa kuuwa bila kumfikisha mtuhumiwa mahakamani? Alitoa upinzani gani mpaka mumtoe roho shetani nyie?
 
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?

Unataka polisi wachukiwe mara ngapi na wananchi? kwani sasa wananchi wanafaidika nn kwa polisi kuua raia badala ya kuhakikisha usalama wao na mali zao? polisi waliotokomea na fuko la milioni mia mbili baada ya kufanikiwa kuwapokonya majambazi kule kariakoo juz juz nao ni walinda usalama wa raia na mali yake au tuwaite mapolijambazi? wafanya biashara wa dhahabu wa mahenge waliopigwa risasi na polisi pale sinza kwa kisingizio cha majambazi je? we magamba nini!
 
Jeshi la polisi limeoza kusema kweli. Madawa ya kulevya yanayokamatwa na kuwekwa katika vituo vya polisi kama ushahidi yanaibiwa na polisi hao hao. Wanaenda kwenye tukio la ujambazi pesa zile zlizoibiwa na majambazi wakibahatika kuzikamata basi polisi wanaziiba wenyewe (milioni 150 zilizoibiwa na polisi katika tukio la ujambazi Dar) wanaua wananchi wasio na hatia hovyo hovyo katika mikoa mbali mbali nchini. Wanabambikia kesi watu mbali ili wajionyeshe kwamba wanatenda kazi kwa ufanisi mkubwa kumbe ni madudu tu.

mimi nadhani hili jeshi la polisi linatakiwa lisafishwe kabisa
 
Back
Top Bottom