Kwa mujibu wa
taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini
Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na
askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini Sumbawanga kwa kutuhumiwa kwa
wizi.
MYTAKE.
Chondechonde polisi mnawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu
wakijivinjari bila wasiwasi.
zungumzia pia na askari akiwa na silaha alivyokatwa panga na raia na raia huyo kabla ya kupigwa shaba nadhani furaha yako askari anguawa ndo ufurahi