Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

No comment.. Mzee Mwanakijiji jibu barua ingine hiyo mkuu chama mambo yameiva Uingereza, mkuu wangu Mkandara tunaomba mawazo yako.
Ridhiwan una umri gani? sababu naona mara nyingi unamwaga pumba tu humu. unadai chadema wamekodi range???
Hebu waulize jamaa zako hapa london hayo magari ni ya nani? Na kwa nini wakodi? kwani hawana hela za kununua? au lazima uwe mtoto wa kigogo ndio uwe na gari kubwa?
 
Mkuu Mwita;
Wingi au uchache wa wanachama 10 inategemea umetumia nguvu na gharama gani kuwakusanya!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwenye mjengwa blog mi niliona Lema amevaa flana ya CCM sikuelewa alikuwa na maana gani

Mkuu unanilaumu bure angalia hii My Take; Nani anamfahamu huyu mwandishi wa Ushabiki??

Halafu uwe unasoma mamboa hadi mwisho Mkuu!
 
Mkuu Ritz,
Niliongea na kijana wangu alikuwepo kwenye baa sangara kachina UK vipi umepata updates zozote za mkutano wa Lema na meya wa London?

Gongo la mboto DSM
 
Ha ha ha Siku hizi Aanahisi amepwaya Kila akiona Nondo za CDM lazima amwalike chama Bwaha bwaha bwaha

Mkuu Ritz
Umeziona hizo nondo wanazosema? mimi wameshika fito tu wanahaha usiku na mchana kazi kutapika pumba; Lema kajichukulia masurufu hamna kilichofanyika UK ni utapeli na uzugaji tu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Albedo;
Unajua wengi wa pro Chadema ni watu mnaokurupuka bila kuja undani wa tatizo lenyewe, tamko la Cameroon lilikuwa na lengo la kutafuta namna na kumbana Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, binafsi nimeyashuhudia Harare jinsi gani Mugabe anavyopiga vita ushoga si vitu vya kusoma kwenye magazeti; tamko la Cameron halikuwa tamko rasmi la serikali ya uingereza na isitoshe viongozi wa nchi Afrika ikiwemo Tanzania walimueleza wazi kama ni misaada na akae nayo hawako tayari kushurutishwa kwenye kinyume na tamaduni za nchi zao; Mh. Raisi anapokwenda Uingereza anakwenda kwa mialiko ya mashirika mbalimbali ya kimataifa na si kila anapokwenda anakwenda kwa mualiko wa serikali ya uingereza; katika masuala ya uchumi ni kweli Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji msaada kutoka Uingereza hali kadhalika Uingereza inahitaji ushirikiana na Tanzania kwa maendeleo yake; unafikiri makampuni ya uingereza yaliyopo Tanzania yanakuja tu? Ni sababu ya ushirikiano wa kiuchumi kati yetu.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama inabidi uwe unajipanga vizuri inapojibu maswali na si Kukurupuka kama unavyofanya matokeo yake una jidefeat mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Tujulishe na weka picha hewani tuone mkutano ulikuwa vipi si mambo ya magamba.Inawezekana kabisa umetumwa

kweli jamani hawa jamaa wanaleta hoja hewa hapa tuaminije? WANAHITAJI CLARIFICATION YA PICHA AT LEAST.hata ivo leteni hoja za msingi o/WISE WAMETUMWA TU
 
IMG_4271.JPG

Mkuu Ritz mtoto hakui kwa baba vazi limetulia mtoto bado ana mapenzi na nyumbani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama inabidi uwe unajipanga vizuri inapojibu maswali na si Kukurupuka kama unavyofanya matokeo yake una jidefeat mwenyewe.

Mkuu Albedo kitu gani usichoelewa? Nijuze tuhabarishane

Chama
Gongo la mboto DSM
 
national examinations council of tanzania

csee 2005 examination results


s0829 maarifa tandika secondary school


div-i = 0 div-ii = 1 div-iii= 14 div-iv = 69 fail= 28


0040
f rukia s kilemile 35 fld civ-f his-f geo-f eli-f kis-f eng-f bio-f bas-f

source:
http://www.tanzania.go.tz/NectaResults2005/S0829.HTM
 
huyu mtoa mada sijui mwandishi aniambie what is news here, hata kama wamesusia akumbuke kwamba Lema ameenda ku recruit marafiki sio wapiga kura maana Chadema haitaki kutawala UK, bali hapa tulipo watanzania tunaojua ushenzi wa watawala hawa. Na hiki alichoandika kama anakiita uandishi nampa pole, hakuna kitu kinachoweza kuwa uandishi hapa
 
Gwanda zinaporowa jasho, hutoa harufu ya kikwapa kali sana! Naona kikwapa cha London summertime ni hatari!
 
national examinations council of tanzania

csee 2005 examination results


s0829 maarifa tandika secondary school


div-i = 0 div-ii = 1 div-iii= 14 div-iv = 69 fail= 28


0040
f rukia s kilemile 35 fld civ-f his-f geo-f eli-f kis-f eng-f bio-f bas-f

source:
http://www.tanzania.go.tz/NectaResults2005/S0829.HTM

Kama matokeo ya Rukia Kilemile ndio haya,Div 0 ambayo haina D hata moja hata civics ameshindwa pata D, basi hakuna haja ya kujadili utumbo aliouanika hapa!eti muandishi wa jinsia na uchumi!kumbe ndio maa C.c.m inazidi kupoteza wafuasi,maana Watanzania type ya Rukia wanazidi kupungua nchi hii
 
Kiganyi
Hakuna haja ya kumjua Mwandishi, bali tukubali kuwa yote aliyoyaandika ni ya kweli, Kwani kuna mtu ambaye hajui kuwa sera za CDM za kibaguzi, ukabila na udini zinatoka kwa conservative.
 
Last edited by a moderator:
national examinations council of tanzania

csee 2005 examination results


s0829 maarifa tandika secondary school


div-i = 0 div-ii = 1 div-iii= 14 div-iv = 69 fail= 28


0040
f rukia s kilemile 35 fld civ-f his-f geo-f eli-f kis-f eng-f bio-f bas-f

source:
http://www.tanzania.go.tz/NectaResults2005/S0829.HTM

Kadanganye wale ambao hawajui mfumo wa NECTA unavyofanyakazi. NECTA hawatoi madaraja ya kufaulu kwa herufi ndogo, au ulikuwa unajifunza ku-format document ukaone ujifunzie kutoa uongo wako hapa? Angalia jina la shule herufi ndogo. Mkuu hujua kabisa kudanganya, kajipange upya. Naona huyo binti kawamaliza ile Mbaya.
 
Back
Top Bottom