Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Aug 8, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ANGALIZO; Hii ni nukushi ya barua pepe ya Bi Rukia Kilemela nimeinukuu www.wavuti.com, si maneno ya Kiganyi wa JF!!

  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilipata AIBU kubwa hapa jijini London baada ya Watanzania kuzira kuhudhiria mkutano wao uliofanya katika Bar imilikiwayo na Wakenya ya The Thatched House.

  Sababu nyingi zilizotajwa ni pamoja na urafiki mkubwa na kukubali kila sera ya Chama Tawala cha Uingereza cha Conservative ambacho kinachukiwa na Waingereza wenyewe kwa sera za kulazimisha zilizoleta hali mbaya ya maisha na umaskini nchini hapa. Aidha ni Chama kilichoilazimisha serikali kuwabagua na kuwafukuza Watanzania wengi waliokuwa wakiishi Uingereza na kuwarudisha Tanzania kwa Aibu kubwa huku wakiacha mali zao nyuma.

  Maandalizi ya mkutano wa Chadema pia yaliwachefua Watanzania wengi na kukataa kushiriki kwa kuwa yalichangiwa na kufanywa na baadhi ya watu wenye kudhaniwa kwa muda mrefu kuhusudu tabia za USHOGA na USAGAJI wakati ambapo Watanzania wengi hawajapona kidonda kilichotibiwa kwa mabavu na serikali ya CCM wakati iliposhinikizwa kukumbatia utamaduni wa USHOGA na serikali ya Conservative au isahau misaada ya maendeleo ya kitaifa. Chadema katu haikupinga shinikizo hili la rafiki zao Conservative.

  Aidha waandaaji wakuu wa mkutano huo iliwajumuisha wakurugenzi wakuu wa SERENGETI FREIGHT, kampuni inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo kwenda Tanzania na kwingineko. Kampuni ya Serengeti imekuwa ikilaumiwa na kushutumiwa sana siku hizi kwa kutokusema ukweli kwa Watanzania kuhusu muda, gharama za ghafla na uhakika wa usafirishaji wa mizigo ya Watanzania ambao wengi wameishia kulipa gharama kubwa za ziada, ucheleweshwaji au kuamua kuacha mizigo dhidi ya muda uliokubalika. Kuhusika kwa Wakurugenzi hawa kuliongeza uchungu kwenye kidonda kibichi.

  Baadhi ya Watanzania waliokuwa wakijiburudisha ndani ya Bar hiyo na kuangalia mashindano ya Olyimpic walimrushia Bw. Lema maswali ya kebehi na kumzomea pia na kusema.... "Gwanda linanuka RUSHWA meku"....huku wengine wakitoa kadi zao za CCM na kunyanyua juu.

  Katika mahudhurio hayo machache, idadi kubwa walikua ni wanaCCM waliohudhuria kwa makusudi na wengine kuchangia kwenye mkutano huo. Baada ya mkutano vicheko vya kebehi vilisikika na kuambatana na kauli kama "...jamaa wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja... wanafikiri hapa ni walipotoka.. ovyoo."

  Ikitarajia kufuata nyayo za CCM UK itabidi Chadema waombe miujiza ya aina yake kupata w/chama na si washabiki tu katika maeneo tofauti ya UK ili itoke kwenye sura ya Kijikundi. CCM UK ilifanikiwa kufungua mashina katika miji/majiji kumi hapa UK.

  Na Rukia Kilemile

  rkilemile@gmail.com

  Mwandishi wa kujitegea na mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi hapa United Kingdom.
  Mwandishi si mwana chama wa chochote cha siasa.

  My Take; Nani anamfahamu huyu mwandishi wa Ushabiki??

  Source: wavuti - wavuti
   
 2. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama hao ndio wana CCM, kwa ***** huu hiki chama kinaelekea kwenye shimo!
   
 3. m

  masabo Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujulishe na weka picha hewani tuone mkutano ulikuwa vipi si mambo ya magamba.Inawezekana kabisa umetumwa
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  4ril huwa KIGANYI sielewi itikadi yako.unaishi kwa upepo wa NAIRA .HAPO NYUMA USHASIFIA MKUTANO HUO.kuanzia leo siamini ukileta hata habari chanya za cdm..aya nenda lumumba nape anakuwait
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Should we give a damn about what the folks in New York, DC or London think? Absolutely not.

  Kama walitimuliwa na chama cha conservative kwa kukaa bila vibali, so what! Wanataka wapeleke tamaduni za unajua mimi mtoto wa nani? Kwenye nchi za watu.
   
 6. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Source email adress hamna hata picha moja gambahamjui hata kumdanganya **** Tehe Tehe Tehe
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii article imeandikwa na semi-illiterate?

  Harakati za kurudisha watanzania zilianza wakati Tony Blair (Labour Party) akiwa Prime Minister, na Mkapa akiwa rais. Na hii ilikuja baada ya kugundulika kuwa wapo watanzania walioomba ukimbizi (waliojilipua) wakijidai kuwa wao ni wasomali lakini baadae ikagundulika walikuwa watanzania. Pia kuna baadhi wanatoka upande wa Zanzibar na waliomba ukimbizi wakati wa machafuko ya Zanzibar.

  Pili, hali ya kudorora kwa uchumi (kwa UK) ilianza tangu 2008 wakati wa Labour Party na waziri mkuu wakati huo alikwa Gordon Brown. Conservative wamekuta mdodoro wa uchumi tayari umeshashika kasi. Lakini kama chama cha Conservative kinachukiwa sana na waingereza kama anayotaka huyu mwandhishi tuamini, nani alikiingiza madakarani? Watanzania?

  Kwa kumalizia, madai ya ushoga na usagaji, kama kweli hao watanzania walioko Uingereza wanaudhika sana na hayo mambo kwa nini wanakaa huko? Kwanini wasirudi nyumbani na kuandokana na 'maudhi'? Lakini ni kweli sera ya ushoga Uingereza ni ya kichama (conservative vs labour etc) au ni kitaifa zaidi? Wakati Sir, Elton John anaingia kwenye 'civil partnership' na David Furnish huko Uingereza mwaka 2005, ni chama gani kilikuwa madarakani?

  Tabia ya watanzania ya kutopenda kujisomea inatugharimu sana!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu!!! Kama umemuelew kiganyi hii habari kacopy na ukiangalia comment yake ya mwisho kaiponda ccm tusimlaumu huyu kiganyi ni peoplesssssssssssssssssss power
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hao wali jilipua huko UK they are no use si wapiga kura hao kwao box ndiyo jibu na kuwa CCM ni sawa wana wanacho faidika nacho .Chadema ni zaidi ya ma loosers maneno iko huku Tanganyika .Lema maliza kazi zako rudi makala ina wapambe nyuma wengi ikiwa ni pamoja kutaka kuonyesha kwamba Lema hakubaliki.Rushwa kuna mwana CCM anaweza kusema rushwa dhidi ya Chadema ? Nani ana rushwa ndani ya Chadema ? BS siamini habari hii .
   
 10. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60

  napata shaka kama kweli ni mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi, ni degree ya kweli au ya online?kama kweli hukufanya utafiti kwa ajili ya degree yako.Ni kwamba kabla ya kuleta thread yako kuna blogs nyingi zimeleta habari kuhusu mkutano huo, na picha mbalimbali.kimsingi waleta habariwalileta habari zilizokuwa zinajitosheleza sana na kuridhisha.Pili pale mwisho umeonyesha kuwa huegemei chama, mbona umemalizia kwa kusema ccm ina matawi mengi sana uk na pia cdm wafanye kazi sana kupata wanachama.Pia uchambuzi wako wakusema cdm inamahusiano na conservative anabo wanaendekeza ushoga, je cdm tanzania ilishatoa tamko gani kuhusu ushoga?je sera ya cdm kwenye ilani yake inasemaje kuhusu ushoga?Kwa sisi tulipo bongo hakuna hata siku moja cdma ilihojiwa kuhusu kukumbatia ushoga.Pia kuhusu seregeti hiyo ni kampuni ina sera zake za biashara, je cdm inaweza kuingilia mambo ya utendaji wa ndani wa seregeti?
  narudi kuchambua kuhusu jinsia, kimsingi hapa bongo chanzo cha jamii kubwa iwe jinsia ya vijana au akinamama wanaishi maisha magumu sana.serikali imewatupa, na chanzo ndo hiyo serikali ya ccmKwahiyo ccm haitaki kurekebisha matatizo hayo.sasa kama ni mchambuzi huwezi kutetea ccm na matawi yake kuwadhulumu bila kuwatetea wanyonge.napata shaka kuleta thread ambayo haitetei wanyonge kwa chama mfu
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  maandishi yako na dhamira yako tu vinaashiria wewe ni SHOGA
   
 12. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu unanilaumu bure angalia hii My Take; Nani anamfahamu huyu mwandishi wa Ushabiki??

  Halafu uwe unasoma mamboa hadi mwisho Mkuu!
   
 13. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama mtu mjinga hivi yuko Uingereza!! Amesoma wapi huyu?!
   
 14. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao waosha sahani huko uingereza wasiumize mtu kichwa.Kwanza wanalalamika wa TZ kurudishwa?aibu zao sasa mna faida gani kwa nchi? Au kuuza sura uk mnaona dili? Poleni sana hamfai kwa chama wala nchi. Lema rudi nyumbani tuendeleze opperation
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. D

  DUNIANGUMU JR Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwandishi wa kujitegemea hata picha moja ya kutuonesha madhari ya mkutano ulivyokuwa hakuna!!! mwandishi au mwandikiwa?
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Pro-Chadema wametawaliwa na jazba sasa hata ujasoma vizuri thread unatoa kauli za matusi.
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Ritz ngoja nimwite na chama Nina Maswali Mawili

  1. Serikali ya Cameroon Ilitangaza Masharti ya Misaada ikiwa ni Nchi Kama Inahitaji Misaada ni Lazima ikubali kuheshimu Haki za Msahoga

  Sasa

  a. Cameroon hajawahi kubatilisha Kauli yake na Wakati huo huo Mkuu wa Kaya mara kwa Mara amekuwa akikwea Pipa kwenda Kwa Cameroon kuomba Misaada

  Je

  Serikali kupitia kwa Mkuu wa Nchi Imekubali Masharti ya Cameroon?

  Naomba Majibu Mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ritz Upo? Au Unamngoja chama aje Akusaidie maana siku ile Nilimbalasa Katibu Mwenezi Pamoja na Magamba yote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Zurii

  Zurii Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanza kabisa nina wasiwasi na huyu so called Rukia huenda akawa mwanaume kajitungia tu jina fake a unafiki wake
   
Loading...