Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

magwanda acheni kupotosha umma RUKIA KILEMILE aliyepata ZERO yuko Tandika, si ambaye yuko LONDON, huyo wa tandika ni mtoto wa mzee Suleiman KILEMILE mmiliki wa shule ya maarifa. Huyo mwngne ndo yuko london, wote nawajua vzuri, poleni kwa kupata data fake za mtu ambaye siye, sasa mrudi kujibu hoja za Rukia Kilemile wa LONDON na si RUKIA kilemile wa TANDIKA

Wewe utafanya watu wacheke. ebu thibitisha kwamba huyo aliyeko LONDON si huyu aliyepiga Four years Fighting For Food, kwa kutoa na wewe matokeo ya ukweli ya huyo aliyeko LONDON. kwasababu huyu ni Rukia Kilemile, na Huyo unayemtaja ni Rukia Kilemile, na ilikuwaje uliwafahamu wote wenye jina moja, NAULIZA TU, USICHUKIE.
 
Wewe utafanya watu wacheke. ebu thibitisha kwamba huyo aliyeko LONDON si huyu aliyepiga Four years Fighting For Food, kwa kutoa na wewe matokeo ya ukweli ya huyo aliyeko LONDON. kwasababu huyu ni Rukia Kilemile, na Huyo unayemtaja ni Rukia Kilemile, na ilikuwaje uliwafahamu wote wenye jina moja, NAULIZA TU, USICHUKIE.

huyo mmoja jana tu nlikuwa nae makoka kwa baba yake makoka huku ubungo, nawajua vilivyo wala usipate tabu.
 
huyo mmoja jana tu nlikuwa nae makoka kwa baba yake makoka huku ubungo, nawajua vilivyo wala usipate tabu.

No, nina maana utoe matokeo ya wote wawili ili sisi tusiowajua pia tuweze kutofautisha. hata kama siyo matokeo, atleast taarifa ye ushahidi inayowatofautisha hawa wawili. Maana kwa sasa tunaanza kuamini kuwa huyo huyo uliekuwa nae jana ndiye pia kaandika hiyo story na kujitaja kuwa yuko London. Ebu Tusaidie kwa kuwaweka wote hapa.
 
We kweli una kichwa kigumu! Hivi division 4 unaona amefaulu pamoja na kurudia mtihani?

Si mnaona alirekebisha mwaka 2007 pale pale Maarifa Tandika. Dada Hongera sana!. Siasa mchezo mchafu.........!.
0247
F
RUKIA S KILEMILE
0
IV
CIV-F HIS-F KIS-C ENG-F
 
huyo wa hapa hata email hajui, hana uwezo wowote wa hata kutumia computer, ameolewa mwaka jana na ukimtaka nenda jumatatu pale tandika shule ya maarifa kuna duka anauza, shule ni ya baba yake mzee suleiman kilemile.
 
Si mnaona alirekebisha mwaka 2007 pale pale Maarifa Tandika. Dada Hongera sana!. Siasa mchezo mchafu.........!.
0247FRUKIA S KILEMILE0IVCIV-F HIS-F KIS-C ENG-F

We kweli una kichwa kigumu! Hivi division 4 unaona amefaulu pamoja na kurudia mtihani?
Mkuu ruttashobolwa kweli hakufaulu na mimi sijampongeza kwa kufaulu, nimepongeza marekebisho yake maana mwanzoni alinunua miswaki tu.
Lakini mara ya pili aliweza kukumbuka chai (C) Ya kiswahili. Hii inamaana alijiongeza japo alisahau kununua walau Donati (D) moja ya kiinglishi au siasa, kusukumia chai yake.
 
Sidhani kama mtu mjinga hivi yuko Uingereza!! Amesoma wapi huyu?!

Tatizo la magwanda hawataki na hawakubali kuambiwa ukwel,kwan hamkumuona Lema alivuliwa gwanda na kuvalishwa KIJANI,mkutano ulijaa wana CCM,na hizo gari kapewa na mashoga Consevertive na si Watanzania wanaoishi London
 
Tatizo la magwanda hawataki na hawakubali kuambiwa ukwel,kwan hamkumuona Lema alivuliwa gwanda na kuvalishwa KIJANI,mkutano ulijaa wana CCM,na hizo gari kapewa na mashoga Consevertive na si Watanzania wanaoishi London
Kwa maandishi yako yanadhiirisha kuwa wewe hautumii kidogo ulichonacho kutambua mambo.
Umewekewa hadi picha humu lakini wewe bado unaamini kuwa Lema alivua gwanda na kuvalishwa kijani.
Si hajabu hata kadi hukuziona au umetokea kwenye kijiwe cha kahawa hujui lolote.
 
ANGALIZO; Hii ni nukushi ya barua pepe ya Bi Rukia Kilemela nimeinukuu wavuti - wavuti, si maneno ya Kiganyi wa JF!!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilipata AIBU kubwa hapa jijini London baada ya Watanzania kuzira kuhudhiria mkutano wao uliofanya katika Bar imilikiwayo na Wakenya ya The Thatched House.

Sababu nyingi zilizotajwa ni pamoja na urafiki mkubwa na kukubali kila sera ya Chama Tawala cha Uingereza cha Conservative ambacho kinachukiwa na Waingereza wenyewe kwa sera za kulazimisha zilizoleta hali mbaya ya maisha na umaskini nchini hapa. Aidha ni Chama kilichoilazimisha serikali kuwabagua na kuwafukuza Watanzania wengi waliokuwa wakiishi Uingereza na kuwarudisha Tanzania kwa Aibu kubwa huku wakiacha mali zao nyuma.

Maandalizi ya mkutano wa Chadema pia yaliwachefua Watanzania wengi na kukataa kushiriki kwa kuwa yalichangiwa na kufanywa na baadhi ya watu wenye kudhaniwa kwa muda mrefu kuhusudu tabia za USHOGA na USAGAJI wakati ambapo Watanzania wengi hawajapona kidonda kilichotibiwa kwa mabavu na serikali ya CCM wakati iliposhinikizwa kukumbatia utamaduni wa USHOGA na serikali ya Conservative au isahau misaada ya maendeleo ya kitaifa. Chadema katu haikupinga shinikizo hili la rafiki zao Conservative.

Aidha waandaaji wakuu wa mkutano huo iliwajumuisha wakurugenzi wakuu wa SERENGETI FREIGHT, kampuni inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo kwenda Tanzania na kwingineko. Kampuni ya Serengeti imekuwa ikilaumiwa na kushutumiwa sana siku hizi kwa kutokusema ukweli kwa Watanzania kuhusu muda, gharama za ghafla na uhakika wa usafirishaji wa mizigo ya Watanzania ambao wengi wameishia kulipa gharama kubwa za ziada, ucheleweshwaji au kuamua kuacha mizigo dhidi ya muda uliokubalika. Kuhusika kwa Wakurugenzi hawa kuliongeza uchungu kwenye kidonda kibichi.

Baadhi ya Watanzania waliokuwa wakijiburudisha ndani ya Bar hiyo na kuangalia mashindano ya Olyimpic walimrushia Bw. Lema maswali ya kebehi na kumzomea pia na kusema.... “Gwanda linanuka RUSHWA meku”....huku wengine wakitoa kadi zao za CCM na kunyanyua juu.

Katika mahudhurio hayo machache, idadi kubwa walikua ni wanaCCM waliohudhuria kwa makusudi na wengine kuchangia kwenye mkutano huo. Baada ya mkutano vicheko vya kebehi vilisikika na kuambatana na kauli kama “...jamaa wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja... wanafikiri hapa ni walipotoka.. ovyoo.”

Ikitarajia kufuata nyayo za CCM UK itabidi Chadema waombe miujiza ya aina yake kupata w/chama na si washabiki tu katika maeneo tofauti ya UK ili itoke kwenye sura ya Kijikundi. CCM UK ilifanikiwa kufungua mashina katika miji/majiji kumi hapa UK.

Na Rukia Kilemile

rkilemile@gmail.com

Mwandishi wa kujitegea na mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi hapa United Kingdom.
Mwandishi si mwana chama wa chochote cha siasa.

My Take; Nani anamfahamu huyu mwandishi wa Ushabiki??

Source: wavuti - wavuti

hako ni kale kapropaganda ka kitoto ambacho kalisha expire kwenye maskio ya welevu...sasa haka ka concubine cjui kamekutana na kilaza gani..baada ya ku2mia akapewa shits akijua itabamba...HA HA HA KWENYE UKWELI UONGO HUJITENGA..time will tell..
 


Bob Lee Swagger & kipenga

wangapi wamefeli hapo tanzania na kwenda mbele kuanza upya kupiga kitabu na wakatoka... NOTE kwamba wenzetu hawakutungii mtihani ili ufeli... unakwenda chuo kuwa mchambuzi wa habari they will train you kuwa mchambuzi wa habari! they dont even care huko bongo matokeo yako yalikuwaje , i know lots of people walifeli huko bongo wakatoka huko na kuja kuanza upya na certificate sasa hivi wana bachelors ... nyie bakini na ulimbukeni wenu mtu akifeli form four ndio Baasi!

nakuashauri tafuta passport ondoka bongo hapo kaoshe tongotongo tembelea vyuo vya wenzetu angalia wanavyofunzwa na angalia mitihani wanayopewa

P.S - Discuss alichokileta sio unam discuss mtu ..



Mkuu njiwa umenifurahisha sana, kumbe wewe ni mmoja kati ya watu wanaoamini kuwa eti hapa bongo mtihani wa form four unaweza kutungwa ili watu wafeli?! Na watu hao hao kufeli tena wanaporudia mitihani hiyo?!!

Laiti kama ungejua, say, kwenye hiyo civics huwa wanauliza nini, ndo ungejua kuwa kupata F kweli inahitaji akili ya kuzaliwa (na katika mazingira haya,akili ndogo sana)!!
Hapa hatumaanishi mtu akifeli form four ndio basi, hapana.

Being trained to be an analyst doesn't necessarily make you good at it, vyuoni wanamaliza watu wengi katika kozi moja, ila wana tofauti kubwa sana ya uelewa wa hicho walichokisomea, Kuna waliofaulu na kuelewa, kuna waliofaulu bila kuelewa na kuna waliopata cheti. Kwa hiyo kama kuwa na cheti au bachelor ndo kitu unachoita 'kutoka' fikiria kwa mapana zaidi.

Kama kwa kusema ‘wametoka' ulimaanisha kupata senti za kuendeshea maisha ni sawa, kwa kuwa hakuna uhusiano sana kati ya kipato na kiwango cha ufaulu darasani, ila kama ulimaanisha kufanikiwa katika wanayoyafanya kupitia walichokisoma, tafadhali fikiria kwa makini!

Note: Hatuwezi kukwepa kumjadili mtu, kama kuna mashaka na kiwango chake cha uelewa, kwa kuwa kuna uhusiano kati ya kiwango cha uelewa wake na alichokileta.
 
Du!! Kaka nitashukuru kama utanishushia data za mtoto wa "DHAIFU" nicheke kidogo
Endelea kucheka Scopion. Hapo kwenye nyekundu
[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h] [h=1] CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS

[/h] [h=3]S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL

[/h][h=3]DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0[/h]
CNO
SEX
CANDIDATE NAME

AGGT
DIV
DETAILED SUBJECTS
S0298/0001
F
AISHA A MNJOVU

16
I
CIV-C HIST-C GEO-D KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0002
F
AMINA HAMISI MJILI
18
II
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0003
F
ANGEL VALENTINE CHAMBO

11
I
CIV-C HIST-B GEO-A KISW-B ENGL-B PHY-A CHEM-A BIO-B B/MATH-B
S0298/0004
F
AZIZA HASSANI OMARI

11
I
CIV-C HIST-B GEO-B KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-B B/MATH-B
S0298/0005
F
AZMINA ARIF AMIR

15
I
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-B ENGL-B PHY-B CHEM-A BIO-B B/MATH-C
S0298/0006
F
BELINDALUCY CHARLES NYAMRUNDA

12
I
CIV-C HIST-A GEO-B KISW-C ENGL-A PHY-A CHEM-B BIO-B B/MATH-C
S0298/0007
F
BLESSING ALPHONCE ACHIM

21
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-B BIO-C B/MATH-C COMM-F B/KEEPING-D
S0298/0008
F
FATMA HARUNA SONGORO

14
I
CIV-C HIST-B GEO-B KISW-C ENGL-B PHY-A CHEM-B BIO-B B/MATH-C
S0298/0009
F
FATMAH AWADHI ABEID

17
I
CIV-C HIST-B GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0010
F
GETRUDA VICENT MATAMA

22
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-D ENGL-B PHY-C CHEM-C BIO-D B/MATH-D
S0298/0011
F
INES KEMILEMBE TIMOTHY

11
I
CIV-C HIST-C GEO-B KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-B B/MATH-B
S0298/0012
F
IRENE THOMAS KALUGULA

22
III
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-D ENGL-B LIT ENG-D BIO-C B/MATH-D COMM-D
S0298/0013
F
KAREN BRIDGITTE BOMANI

18
II
CIV-D HIST-C GEO-D KISW-C ENGL-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-C
S0298/0014
F
KEJA HADI MURUKE

15
I
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-A CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0015
F
LINDA LEONIDACE LWANGA

17
I
CIV-C HIST-F GEO-C KISW-B ENGL-B PHY-B CHEM-C BIO-C B/MATH-B
S0298/0016
F
MARIAGORETH FREDIRICK BAIJUKYA

15
I
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-B ENGL-B PHY-B CHEM-A BIO-B B/MATH-C
S0298/0017
F
MARIAM HABIB NURU

12
I
CIV-C HIST-C GEO-B KISW-C ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-B B/MATH-B
S0298/0018
F
MARIAM MKUBWA HAMAD

12
I
CIV-C HIST-B GEO-B KISW-C ENGL-B PHY-A CHEM-A BIO-B B/MATH-B
S0298/0019
F
MARIAM MOHAMMED KILONGO

15
I
CIV-C HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-A PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-D
S0298/0020
F
MARIAM ZUWANI KIDHUMBU

12
I
CIV-C HIST-B GEO-B KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0021
F
MARY BONIFACE MILONGE

16
I
CIV-B HIST-B GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0022
F
MBUVA M.A NCHULA

15
I
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-A PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-A
S0298/0023
F
MGENI ABDUL BASLEYM

12
I
CIV-C HIST-B GEO-B KISW-C ENGL-A PHY-A CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0024
F
MONICA-AIKA DEO NGATUNI

25
III
CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C BIO-C B/MATH-F COMM-D B/KEEPING-F
S0298/0025
F
MWANAASHA JAKAYA KIKWETE

27
IV
CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F

S0298/0026
F
NADIA ALLY SALIM

18
II
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0027
F
NASMA SAID MOHAMED
21
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-B BIO-B B/MATH-D COMM-D B/KEEPING-D
S0298/0028
F
NEEMA IDDI MTI
17
I
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-B ENGL-B BIO-C B/MATH-A COMM-C B/KEEPING-D
S0298/0029
F
NURU OMAR HUSSEIN
20
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-D ENGL-B BIO-C B/MATH-C COMM-C B/KEEPING-C
S0298/0030
F
RAHMA ISSAH KIVINA
21
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-A BIO-C B/MATH-D COMM-D B/KEEPING-D
S0298/0031
F
RAHMA SALIM ABED
15
I
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-A PHY-B CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0032
F
RUTH RAYMOND SWAI
24
III
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-B BIO-C B/MATH-C COMM-F B/KEEPING-D
S0298/0033
F
SARAH JUMA USSI
15
I
CIV-B HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-B B/MATH-B
S0298/0034
F
SAYUNI FLEGENCE SUNERI
17
I
CIV-C HIST-C GEO-B KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0035
F
SHABNAM NABEEL SATCHU
22
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B BIO-C B/MATH-D COMM-D B/KEEPING-D
S0298/0036
F
THUWAIBA HAROUB SEIF
15
I
CIV-C HIST-B GEO-C KISW-C ENGL-B BIO-B B/MATH-A COMM-C B/KEEPING-B
 
aaaah!! hata magogoni kuna vilaza kiasi hiki?je huyu angekuwa anasomeshwa na wazazi wauza viazi si ndo lingekuwa bumunda kabisa!!! Cha ajabu baada ya miaka kadhaa utasikia ndo mkuu wa wilaya,mkurugenzi,meneja masoko wa tigo,voda au Airtel na pengine waziri au mwandishi wa habari wa ikulu ambaye kimsingi hoja zake hazitotofautiana na huyo rukia kilemile kwa udhaifu.ama kweli nchi hii haitoisha kuongozwa na watu dhaifu na kuwa na serikali dhaifu!!!
 
4ril huwa KIGANYI sielewi itikadi yako.unaishi kwa upepo wa NAIRA .HAPO NYUMA USHASIFIA MKUTANO HUO.kuanzia leo siamini ukileta hata habari chanya za cdm..aya nenda lumumba nape anakuwait
Mkuu, umemwelewa mleta (KIGANYI) uzi kweli. Ukirudi kwenye thred na ukaisoma vizuri itakubidi umuombe radhi. Uwe makini na usikurupuke kufanya conclusion na kuhukumu.
Peace and love for ever!
 
Mkuu, umemwelewa mleta (KIGANYI) uzi kweli. Ukirudi kwenye thred na ukaisoma vizuri itakubidi umuombe radhi. Uwe makini na usikurupuke kufanya conclusion na kuhukumu.
Peace and love for ever!

mwanzo hakurefer mjomba ila amerekebisha..bt tushamalizana
 
Back
Top Bottom