ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,574
Leta za kuleta Utajua ni naniInchi imeparanganyika. Haijulikani nani hasa anaoongoza
Leta za kuleta Utajua ni naniInchi imeparanganyika. Haijulikani nani hasa anaoongoza
Weka hoja zako ueleweke.Mmeona hamna cha kuongea mnaanza kutafuta sababu.
Mapepo yaliyompagawa mtu huwa hayaondolewi kwa lugha nyororo na ya kulemba. Ni lugha ngumu na amri kuu, na kwa mamlaka ya mbingu. PEPO ULIOLAANIWA TOKA.Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
lakini waziri alilielekeza jeshi la polisi, kama unakumbukaZuio bado lipo palepale kwani lilitolewa na waziri mambo ya ndani, halikutolewa na polisi ambaye yuko chini ya waziri kiutendaji.
Kauli za kisiasa, hasa za kishindani zilinganishe na wewe unaposhindana na wenzako kupata mchumba.Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Sasa kama ni hivyo:Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani.
Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa hivi sasa ni tete kwani kila neno jukwaani linaweza kukutia matatani hata kama si kosa, ila dhamana haipo kwa utashi tu wa wakamataji!
CCM ni Chama Cha MashetaniNa kwa elimu yangu, ni kiumbe mmoja tuu ambaye yeye na uongo ni damu damu mpaka akaitwa baba wa uongo.
Kwa kiumbe kisichotaka ukweli, maana yake kinataka na kinapenda uongo.
Baba wa uongo ni shetani, hivyo kama CCM ni baba wa uongo, maana yake CCM ni .....
Hiyo ni lugha ya aina gani; kuna kipimo cha lugha hiyo kinachoopambanua ukisema hili ni tusi na hili siyo tusi?Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Kudai katiba mpya,kusema watu wanatekwa wkt ni kweli,huo ni uchochezi?Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Na ndio maana gazeti la NIPASHE la leo Alhamis tarehe 30/7/2026 limeruka na habari " WAZIRI AKINZANA NA POLISI"...wasije tu wakaitwaWaziri ndo anaakiiwa kutoa tamko japo alivunja katiba hakuna kifungu kinaruhusu waziri kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu zake binafsi au Katambi kaona aibu kutoka kuruhusu mikutano angeoneka homnanzo japokua yote yanawezekana anatumia police kutengua kauli ya ovyo je kuna barua kutoka kwa IGP wa police Wambura kuruhusu mikutano?
Hii nchi haieleweki Mkuu.Zuio bado lipo palepale kwani lilitolewa na waziri mambo ya ndani, halikutolewa na polisi ambaye yuko chini ya waziri kiutendaji.
Hii nchi haieleweki Mkuu.Zuio bado lipo palepale kwani lilitolewa na waziri mambo ya ndani, halikutolewa na polisi ambaye yuko chini ya waziri kiutendaji.
Tuwaache wapambane wenyewe, sisi ni watazamaji tu.Hii nchi haieleweki Mkuu.
Nisije nikasema Uongo.
Katiba inasiginwa na Kubakwa.
Waziri hana Mamlaka ya kutangaza hali ya Hatari.
Kuna chombo kinaitwa Balaza la Usalama.
Waziri hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa
Waziri hana mamlaka mbele ya IGP
Kumuamlisha atakavyo.
Mambo ni mengi.