Ruhazwe Jr anatafutwa

Akhu!!!!! Siwezi kuwa na mama mkubwa wa aina yako.....ngoja nimuulize mummy....
Eti mummy measkron huyu Husninyo ni dadako???

Huyu Husninyo yaani na mtoto wa dadake babake shangazi yake wifi yake bibi yake na babu yetu.... tuna undugu wa kugundisha na big G, Alianza kuja na gia ya kutaka kupindua ndoa yangu na mume wangu kipenzi watu8, alipoenda kijijini huko akasikia sisi ni ndugu, amukuja kututembelea na mpendwa ladyfurahia ametoa somo ambalo limemuingia sana na sasa amekaribishwa kwenye familia....Welcome Husninyo... mwanangu charminglady ilikuwa nikueleze haya nijapo huko kwa kirefu zaidi...
 
Last edited by a moderator:

hehehehehe!!! nimekaribia kwa miguu miwili. waambie wanao charminglady na sweetlady waniheshimu mama yao mdogo sasa. lol. uwe na weekend njema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…