Ruhazwe Jr anatafutwa

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
Muandaaji wa shindano la miss chitchat anatafutwa kwa udi na uvumba. Tokea shindano hlo limekwisha mshindi amekwishapatikana lakini hatujatangaziwa kuhusu utaratubu mzima wa zawadi kiasi kwamba kila mtu amepatwa na sintofahamu.......... Popote alipo anaombwa ajitokeze................
 
Lundenga atakuwa anakula gud tym na mshindi
 
Mchakato wote ulijaa mizengwe na itabidi afikishwe the hague
 
mshindi naye anaingoza jopo linalomsaka Lundenga. Inawezekana amewazunguka wenzake?
 

Nimewakuta na Invisible wake wamegawana hela za zawadi wanakula gud tym
 

Attachments

  • drunk_peasants-s500x414-52588.jpg
    43.5 KB · Views: 56
Last edited by a moderator:
LUNDENGA hebu kuja pande hizi bana,mambo gani hayo ya kuyeyushana?
 
Chonde chonde we bibi wewe.... Ningekuwa naye nisingeonekana kama ambavyo yeye haonekani hapa jukwaani!!!!!!

mie nilitaka mshindi utie neno hapa. hongera sana ila si ulikuwa karibu na lundenga bana!!! lol.
 
nilijua tu.
TANMO embu njoo turatibu hii baraa,bonge la stori jfudaku@
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…