Hawajasamehewa, wamepewa sharti la kulipa deni, huo sio msamaha.Maadam rais Magufuli amesamehe, wasamehewe waendelee na maisha yao.
P
Ukinishitaki kwasababu sijakulipa tsh 100, halafu nikakamatwa na kuwekwa mahabusu, kisha nikaambiwa nikikulipa tsh 100 naachiwa huru,nami nikaingia makubaliano na mamlaka kukulipa tsh 100 kwa installment na nikaachiwa huru.
Hapo msamaha uko wapi?!
Msimpotoshe, muwe mnamueleza ukweli.