Ruge Mutahaba kuliamsha dude Kesho 360 Clouds tv

Samahan mkuu kwa kukuchafulia uz wako unajua hiki kipunga kikicocochanel jana kilileta mambo ya kiloz

Nimekitafuta toka jana ndo nimekipata hapa

Usijali Mkuu Wewe endelea tu Kutiririka na Kuserereka nae hadi pale wote wawili mtakapoheshimiana. Vipi mna bifu la kubaiolojiana au alitaka umbaioloji ukakataa Mkuu?
 
Hivi Mkuu hata kama ingekuwa ni Wewe Mwanamke umembaioloji / umemngono / umembandua kwa miaka nenda rudi halafu ukawa nae Ofisi moja mara ghafla leo kamzawadia Mbunye yake Mwanaume mwingine halafu akakuficha na akafunga nae Ndoa Wewe bado unaweza ukawa na guts za kuwa nae hapo Ofisini Kwako / Kwenu Mkuu?

Mimi mwenyewe kuna Mwanamke mmoja nilimtongoza ndani ya Daladala tukiwa tumekaa Siti ya mbele mkabala / jirani na kwa dereva na nilipomtongoza na akanitolea nje / akanipiga dochi ilinibidi nibadilishane Siti na Dada mmoja hivi aliyekuwa amekaa Siti ya mwisho kwani nilivyokuwa nimekaa nae pale na vile alivyonikatalia niliona kama vile safari ninayoenda ni ya mbali na dereva haendeshi speed na nakumbuka ili kujipunguzia maumivu ya kupigwa dochi / kukataliwa nae nilishukia kituo cha tatu kabla ya kile nilichokusudia kisha nikatembea zangu za TZ 11 yangu ( kwa miguu ) hadi Kitaani Kwangu.

Mkuu usiombee upigwe dochi / ukataliwe na Demu mkali unaweza ukaomba Israeli Mtoa Roho awahi kukufuata ili akuwahishe Kuume kwa Baba Mungu ili uondokane na maumivu ya moyoni. Mkuu madochi ya Watoto wa Ushuani yanauma asikuambie Mtu.
Apo tu ndio huwa nakukubali mkuu,Gentamycine.....Comedy zako uwa zinanipa raha sana
 
ACHENI UMBEYA LALENI IYO kesho ikifika iyo SAA NNE mtajua ilo jambo sio kubashiri bashiri
 
Kwanini masikin mlio wengi mnaroho za kichawi chawi sana

Nikipigwa life ban wewe utapata faida gan punga mkubwa wewe

Umasikini ni kosa duniani!!!
Eeeeeeeh eti umeniandikia ha ha haaaaaa

Nitatuma upokeee chakula nachokula kila siku cha udongo na mawe nawe ule.
 
Clouds media kupitia mkurugenzi wake Ruge Mutabaha imeanzisha kampeni mpya iitwayo "kataa kuwa kaa" akifafanua ruge alisema

Kaa ni kiumbe ambae ukimueka peke yake kwenye ndoo au kapu hutoka nje ndani ya mda mchache. Lakini ukiwaweka wengi alafu ukae hata siku 3 bila kufunika huwezi kuta hata 1 ametoka kwasababu wana tabia ya kuvutana, mmoja akitaka kutoka wengine wanamvuta

Akifafau zaidi Ruge amesema tarehe 25 nov itakuwa kilele cha Fieata Dar es Salaam na wasanii watakao tumbuiza wote watakuwa local na kuyataka makampuni au taasisi nyingine kutofanya matamasha ya mziki siku hiyo ili watanzania wote wapenda burudani wakawaunge mkono vijana wa bongo fleva.

Ruge alitoa mfano " sisi tunafanya fiesta tarehe 25 utakuta wengine nao wanafanta tamasha tarehe iyo iyo tena la bure huko ndo kuwa "Kaa" ambao hatuutaki yaani kuvutana kwenda chini

Tunaomba tarehe 25 mtu mwingine asifanye tamasha la mziki Dar es salaam
"Kataa kuwa kaa"
 
Kwa anavyofanya kuombaomba huruma ndo vijana watamkomoa sasa.....
Huyu ndumi la kuwili anaanza kujuta sasa...
Ukiwa Ccm jiandae kisaikolojia mapema kuwa hutokuwa na followers kwa org zako...
Ajipange na ushindani asitafute huruma
 
Yaani anachokifanya ni kama Bongo Muvi wanavyong'ang'ania watu wasiangalie filamu za nje.

Ila bado hajaifunika kiki ya Dr Shika.
 
Kichaa huyo Leo ameliona hilooo
Alivuokua anawafanyia wenziwe

Ama kweli mtenda akitendewa...
 
Clouds media kupitia mkurugenzi wake Ruge Mutabaha imeanzisha kampeni mpya iitwayo "kataa kuwa kaa" akifafanua ruge alisema
Kaa ni kiumbe ambae ukimueka peke yake kwenye ndoo au kapu hutoka nje ndani ya mda mchache. Lakini ukiwaweka wengi alafu ukae hata siku 3 bila kufunika huwezi kuta hata 1 ametoka kwasababu wana tabia ya kuvutana, mmoja akitaka kutoka wengine wanamvuta
Akifafau zaidi Ruge amesema tarehe 25 nov itakuwa kilele cha Fieata Dar es Salaam na wasanii watakao tumbuiza wote watakuwa local na kuyataka makampuni au taasisi nyingine kutofanya matamasha ya mziki siku hiyo ili watanzania wote wapenda burudani wakawaunge mkono vijana wa bongo fleva.
Ruge alitoa mfano " sisi tunafanya fiesta tarehe 25 utakuta wengine nao wanafanta tamasha tarehe iyo iyo tena la bure huko ndo kuwa "Kaa" ambao hatuutaki yaani kuvutana kwenda chini
Tunaomba tarehe 25 mtu mwingine asifanye tamasha la mziki Dar es salaam
"Kataa kuwa kaa"
Typical Magufail mentality.
 
Back
Top Bottom