thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,858
Nani kasema ni tar 24?Kesho sio tarehe 24.
Watu wengine mnapost mmelewa,swain
Nani kasema ni tar 24?Kesho sio tarehe 24.
Mwanaume Fulani wa daresalama huko miezi michache iliyopita alikuwa analilia papuchi ya mwanadada moja hivi!Ndyo nani ?
We thubutu na hakuna mwenye guts hata za kumuuliza hilo swali pale..
Hivi zamaradi hata utangazaji kaacha?
Ha ha ha kakutafuta sana HR 666 na maneno mengi mpk nkasema umekimbia au
Wewe kapuku ndo ulikuwa unataka jana nipigwe life banGESI YANGU
NI ALICHOKIONA NA KUSIKIA HUKO MIKOANI WAKATI WA FIESTA NA FURSA.
Kulilia mbunye wala sio ujinga!
Teh teh teh.
Kumfariji ni muhimu.
Ohoo [emoji15] [emoji1] [emoji1]Wewe kapuku ndo ulikuwa unataka jana nipigwe life ban
Acha ushamba kapuku mkubwa wewe
Acha roho ya kiloz mchawi mkubwa wewe
poa mkuu, ingawa wakati nacomment ilikuwa 24
Jana nilitoa uz akaja na chuki zake et anataka nipigwe life banOhoo [emoji15] [emoji1] [emoji1]
Wewe kapuku ndo ulikuwa unataka jana nipigwe life ban
Acha ushamba kapuku mkubwa wewe
Acha roho ya kiloz mchawi mkubwa wewe
yaan anazidiwa hata seba maganga kira cku yeye tu wasanii wanampilia yeye kashfa za ngono kwa wasanii wa kike yeye
Huyu ruge ww unamkubali pia?
Kwanini masikin mlio wengi mnaroho za kichawi chawi sanaEeeeeeh
Utaipata tu siku moja wewe
Kama unaugumu why unalia lia kama mtu jinga...
Huna lolote... umewekewa darubini... ukome kuwa bomu
Samahan mkuu kwa kukuchafulia uz wako unajua hiki kipunga kikicocochanel jana kilileta mambo ya kilozKuliko maelezo Mkuu na hivi ni Mtani wangu wa Kihaya kutoka Mkoani Kagera ( Bukoba ) ndiyo namkubali ile mbaya na Yeye analijua hilo.
sikatai wala sibishi kuhusu hilo naunga mkono tatizo ni nin heshima yako iko wap yure ruge anawadhifa mkubwa kufanya afanye ila kwa makini, najua yeye rijali na anatamaa lakini sio kira nalofanya hadi nnchi nzima ijue tuchukulie mfano wewe ndio baba katika familia una mke na watoto kama wadogo au wakubwa na pia una michepuko uko nje unashoona tu vizuri lakini ukija home heshima ipo pale pale una muheshimu mke wako na watoto wako wanakuheshimu unafanya mambo huko njee ila ndani unahakikisha wasijue ili heshima yako iwe palepale sasa uyo jamaa anatembea hadi na wasanii,wafanyakzi wenzake humo humo bado mtaani anavuruga kira mtu anamjua kuna wangapi wanfanya hayo mambo ila tu inabaki tu kusikia kwa naskia flani demu wa fulan lakin hakuna uhakikaKote nakukubalia Mkuu ila hapo katika Kashfa ya Ngono namtetea kabisa Mtani wangu Ruge. Ukweli ni kwamba na hapa tusiwe Wanafiki hakuna Mwaname wa Kiafrika ambaye ni rijali kabisa na kila siku mnara wake wa Babeli / Mkuyenge unasimama asiwe Malaya.
Naamini hata Wewe Mkuu kama ungekuwa ni Bosi mahala halafu una Hela nawe ungewabaioloji vile vile ila sema tu tatizo siyo Bosi na kuna kila dalili kwamba hata Fedha umepishana nazo katika maisha yako hivyo unashindwa. Mimi wala nisiwe Mnafiki na nisijifiche ukweli ni kwamba hata Mimi nikiwa Bosi halafu ' Shekeli / Pesa ' imenikubali Mkuu nitawabandua Mademu wa Kitanzania hadi waniamkie Shikamoo. Hapa kwenyewe tu sina Hela lakini nawakanyaga hadi wananikoma je nikitukuka kwa Pesa si ndiyo itakuwa balaa Mkuu? Kwenye suala la Umalaya namtetea kwa nguvu zote kabisa huyo Mtani wangu.