Rufaa ya Zombe vipi??


Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,336
Likes
461
Points
180
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,336 461 180
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.je bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,368
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,368 280
Haamna kitu ni siasa za vilaza tu kutudaanganya. Kaza buti mkuu achana na ahadi zao ulidhani wangekata kweli? danganya toto!
 
P

Popompo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
411
Likes
2
Points
33
P

Popompo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
411 2 33
Haamna kitu ni siasa za vilaza tu kutudaanganya. Kaza buti mkuu achana na ahadi zao ulidhani wangekata kweli? danganya toto!

kwa kweli wtz tunaonekana hatuna akili kabisa maana hii habari ya zombe ni ya muda sasa.ila JK na washika dau wake moto wa jehanam unawahusu.nafikiria ile damu iliyomwagika.naumia nikifiria ndugu na jamaa wa waliouwawa kisa mali zao!watoto kama walikuwepo!wake zao wamebaki wajane na mzigo mkubwa wa kulea familia!jamani jamani mtachomwa moto wote mliohusika ktk hili
 
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,336
Likes
461
Points
180
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,336 461 180
Wamezoea kuua hawa halafu hawachukuliwi hatua...kule a town walioua na kujeruhi wako huru na waliokuwa katika mkutano wamepelekwa mahakamani..Nonsense!!!
 
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,336
Likes
461
Points
180
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,336 461 180
Msajili wa mahakama ya rufani anasema itaanza kusikilizwa mwezi machi mwaka huu
ngoja tusubiri tena sinema mpya
 
CPU

CPU

JF Gold Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,870
Likes
13
Points
135
CPU

CPU

JF Gold Member
Joined Jan 13, 2011
3,870 13 135
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.je bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?
Mkulu anasubili aanzishe Mahakama ya Kadhi kesi yake ikasikilizwe huko
 

Forum statistics

Threads 1,238,904
Members 476,226
Posts 29,336,287