Rufaa ya Zombe vipi?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.

Je, bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?
 
Haamna kitu ni siasa za vilaza tu kutudaanganya. Kaza buti mkuu achana na ahadi zao ulidhani wangekata kweli? danganya toto!
 
Haamna kitu ni siasa za vilaza tu kutudaanganya. Kaza buti mkuu achana na ahadi zao ulidhani wangekata kweli? danganya toto!

kwa kweli wtz tunaonekana hatuna akili kabisa maana hii habari ya zombe ni ya muda sasa, ila JK na washika dau wake moto wa jehanam unawahusu, nafikiria ile damu iliyomwagika.naumia nikifiria ndugu na jamaa wa waliouwawa kisa mali zao.

Watoto kama walikuwepo, wake zao wamebaki wajane na mzigo mkubwa wa kulea familia. Jamani jamani mtachomwa moto wote mliohusika ktk hili.
 
Wamezoea kuua hawa halafu hawachukuliwi hatua, kule a town walioua na kujeruhi wako huru na waliokuwa katika mkutano wamepelekwa mahakamani.

Nonsense!
 
Msajili wa mahakama ya rufani anasema itaanza kusikilizwa mwezi machi mwaka huu
ngoja tusubiri tena sinema mpya
 
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.je bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?

Mkulu anasubili aanzishe Mahakama ya Kadhi kesi yake ikasikilizwe huko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom