Rufaa ya Babu seya hii hapa

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Rufa ya mwanamziki Babu seya inatarajiwa kuanza kusikilizwa 30 /11/2009, na itakuwa chini ya majaji 4, akiwemo yule aliyesikiliza kesi ya zombe na wenzake,

-Nani anaweza kubashili kitakachotokea,
-Kisheria hii inawezekana? mtu kahukumiwa zaidi ya mwaka, halafu akate rufaa?
 
Simple, washikaji wanaweza kuonewa huruma, na hasa iwapo jaji mmoja atakuwa apendani na aliyewapeleka jela. Kesi yenyewe yote ilikuwa jungu kuuuuuuuuuuuuuuu
 
Rufa ya mwanamziki Babu seya inatarajiwa kuanza kusikilizwa 30 /11/2009, na itakuwa chini ya majaji 4, akiwemo yule aliyesikiliza kesi ya zombe na wenzake,

-Nani anaweza kubashili kitakachotokea,
-Kisheria hii inawezekana? mtu kahukumiwa zaidi ya mwaka, halafu akate rufaa?

Acha pumba leta hiyo uliyodai ni rufaa! Kutuambia kuwa kuna majaji 4 watakaoisikiliza rufaa ya Babu Seya ndio rufaa yenyewe? Kaazi kweli kweli!
 
Nasikia hakuna sheria kumuachia huru mtuhumiwa aliehukumiwa maisha......labda apewe 30 yrs lakini si huru kabisa....wanasheria watusaidie
 
Nasikia hakuna sheria kumuachia huru mtuhumiwa aliehukumiwa maisha......labda apewe 30 yrs lakini si huru kabisa....wanasheria watusaidie

Sio kweli, kama ni hivyo walikata rufaa ya nini? Labda ungesema kuhusu Presidential Pardon ndio ngumu kwa kifungo kirefu lakini sio rufaa!
 
Hawa ndugu zake Babu Seya[nadhani alikuwa mke wake] walifika Msasani kuongea na Makongoro ili awasaidie,kama anaweza.
Baadaye wakaondoka,mimi nilitoka nje kuwatafuta,ili niwasikilize maatizo yao,lakini,alas,walikuwa wameshaondoka.
Babu Seya ni nani kwani? Ni yule mwanamuziki aliyekuwa anapiga zile nyimbo tulizokuwa tunacheza dansi zamani?
Kama ni yeye,mwachie huru[maybe after profusely apologizing [[to him].
This reminds me. Walikamatwa vijana drinking alcohol in public,walikamatwa Sacramento wakapelekwa Tacoma,Washington to be detained. Wakachukuliwa na ndege,halafu walipofika Tacoma airport yalikuwepo mabasi yanawasubiri kuwapeleka katika detention center. Halafu walipokuwa wanasoma yale majina wakaona kwamba lipo jina la Mkenya. Wakauliza,''Huyu kijana yuko wapi?.'' Wakaambiwa amekwishawekwa ndani ya basi tayari. Wakasema,''Mshushe''. Wakamwambia.''We kijna,rudi Sacramento,you are free.'' Wakaambizana,''Yule mtu wa Kenya,ni 'Obama's brother' ''. Yaani yule kijana,he was a nice guy,but he had this drink problem,na alikuwa anakamatwa mara kwa mara.
 
Ganesh nimeshindwa kukuelewa, huyo mharibifu BS aachiwe kwa umaarufu wake au kwa lipi?
 
Rufa ya mwanamziki Babu seya inatarajiwa kuanza kusikilizwa 30 /11/2009, na itakuwa chini ya majaji 4, akiwemo yule aliyesikiliza kesi ya zombe na wenzake,

-Nani anaweza kubashili kitakachotokea,
-Kisheria hii inawezekana? mtu kahukumiwa zaidi ya mwaka, halafu akate rufaa?

Mods, angalieni hii, kucomment kwenye proceedings zilizo pending mahakamani ni kosa, hakuna haja ya kubashiri sio bahati nasibu hii, tuwaache wenye kazi hizo wafanye.
 
Mods, angalieni hii, kucomment kwenye proceedings zilizo pending mahakamani ni kosa, hakuna haja ya kubashiri sio bahati nasibu hii, tuwaache wenye kazi hizo wafanye.

De facto, life has dramatically changed my friend! Kesi ya Zombe imefuatiliwa kwa karibu sana na magazeti and nothing bad happened to the press! Justice should not only be done but be seen done!
 
De facto, life has dramatically changed my friend! Kesi ya Zombe imefuatiliwa kwa karibu sana na magazeti and nothing bad happened to the press! Justice should not only be done but be seen done!

Reporting wrongly on proceedings is completely different from commenting on a case which is pending. Sababu kuwa kesi ya Zombe watu waliandika vibaya na hakuna upande uliolalamika sio kigezo cha sasa hivi kuvunja sheria. Unachosema ni tofauti sana na sentesi yako ya mwisho. A party in the appeal can greatly benefit, legally that is, from the contents contained herein.
 
I never supported any wrong comment or reporting wrongly from the press, I only support sincere and accurate reporting on the facts of the case or proceedings! Mimi nafikiri kwa wale reporters wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua za kisheria haraka iwezekanavyo, otherwise hali hii ikiachwa muda mrefu na hatua zikichukuliwa kwa kuchelewa basi itaonekana kama wanaonewa kama ilivyokuwa kwenye suala la posho mbili kwa kazi moja!
 
Uko sawa kabisa, wrong/biased reporting ya mwenendo wa mahakama, ni kosa ambapo hatua inaweza kuchukuliwa na mahakama pale ambapo mhusika atakapolalamika kuhusu wrong/biased reporting. Kwa upande mwingine kucomment ni kosa pia. Mtu anaweza kulalamika na mahakama ikachukua hatua kama ifaavyo. Zaidi ya hivyo upande mmoja unaweza kukaa kimya na kutumia comments hizo kwa faida yake. Je wajua kwa nini kesi za baadhi ya kesi EPA zilizokuwa mahakamani zimesimama?????? Shauri ya comments za nje ya mahakama.
 
Hivi huyu Babu seya alifanya haya makosa au ndo zile minong'ononong'ono ya watu ya chini chini isiyokuwa na evidence zozote

sijawahi kuielewa hii kesi ya nyumba nzima kuhusuka na kitende hiki
 
imani tunayo bado kuwa Nguza na wanaye wataachiliwa huru.hawajaua mtu masikini.ni uonevu usiojulikana mwanzo wala mwisho.hizi sheria za shagla bagla zitatumaliza wanyonge
 
Back
Top Bottom