Hawa ndugu zake Babu Seya[nadhani alikuwa mke wake] walifika Msasani kuongea na Makongoro ili awasaidie,kama anaweza.
Baadaye wakaondoka,mimi nilitoka nje kuwatafuta,ili niwasikilize maatizo yao,lakini,alas,walikuwa wameshaondoka.
Babu Seya ni nani kwani? Ni yule mwanamuziki aliyekuwa anapiga zile nyimbo tulizokuwa tunacheza dansi zamani?
Kama ni yeye,mwachie huru[maybe after profusely apologizing [[to him].
This reminds me. Walikamatwa vijana drinking alcohol in public,walikamatwa Sacramento wakapelekwa Tacoma,Washington to be detained. Wakachukuliwa na ndege,halafu walipofika Tacoma airport yalikuwepo mabasi yanawasubiri kuwapeleka katika detention center. Halafu walipokuwa wanasoma yale majina wakaona kwamba lipo jina la Mkenya. Wakauliza,''Huyu kijana yuko wapi?.'' Wakaambiwa amekwishawekwa ndani ya basi tayari. Wakasema,''Mshushe''. Wakamwambia.''We kijna,rudi Sacramento,you are free.'' Wakaambizana,''Yule mtu wa Kenya,ni 'Obama's brother' ''. Yaani yule kijana,he was a nice guy,but he had this drink problem,na alikuwa anakamatwa mara kwa mara.